Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Pole sana kwa kipande kidogo cha maisha. Iweje, vyovyote ilivyo maana yake ni funzo kuwa tuwe makini katika maisha haya ya muda

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ach Acha kudanganya watu, mwenzio anaumwa wewe unataka akatapeliwe. Huyo angekuwa anaponya usingetakiwa umwambie mtu ila kila mtu angekuwa anajua, sio yeye tu wengi hujifanya wanatiba wakati ndugu zao wanateketea na huo ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kijna basi tufanye umeshinda hakuna dawa sawa... ila ungejua kinachoendelea alafu uko tanzania unasubiri mpka taarifa upate kutumia internet wakati weusi huku wanauwawa kisa wasitoe dawa [emoji848][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana, Vijana tukumbuke kupima kabla ya tendo hasa wale wenzangu wasiotaka mapenzi ndoa
 
Wanapona kweli?
Kwanini watu wakubwa hawatumii hizi dawa ?
 
Huwa nachukulia binadamu wengine Kama sehemu ya kujifunza..
 
kw
Wanawake au wasichana wengi wameathirika kwa kutaka relationships za fasta fasta. Nadhani umeandika kama funzo kwa wengine na iwe onyo kwa mfano yanayotendeka kwenye gyms; ni ukimwi kuenea kwa kasi ya supersonic.
enye gym kunafanyika nn mkuu
 
Hivi alipona ngoma huyu left eyez through Dr. Sebi alkaline treatment eeehh?

haha sina uhakika, sema info nyingi zinasema alienda tibu magonjwa ya kiroho, ila nyuma ya pazia wanadai ni ngwengwe ( so hakupona maana siku ya ajali alikua bado yuko uko Honduras )

na conspiracy inasema aliuwawa ili asi testify cure za Sebi ni madhubuti ,

Nipsey Hussle (aliyeuwawa wajuzi tu hapo) nae kafata mkondo , kisa uyu uyu dr. sebi
 
Kuna possibility tiba za Dr. Sebi ni genuine ila mabeberu hayataki zitamalaki nyakati hizi labda mpaka wakompansate gharama zao za maresearch coz kila anaejaribu kuexpose kuhusu Sebi analeft in peace.
Au better wanaoponywa wangefanyiwa kimya kimya mpaka wawe wengi ujumbe umeifikia dunia.
Nasikia mzee baba Kikwete pia alienda kwa Dr. Sebi na Dr akawa anajipanga kuja bongo mabeberu yakamuwahi wakamleftisha in their peace!!!
Dunia ina mengi hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…