Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Haina mbaya
Mitaa hiyo kuna rafiki yangu anaitwa Supa, pale karibu na mzumbe uni, unamfahamu?

Pale Mzumbe naendaga sana, Si rahisi kumjua huyo jamaa, labda kwa sura tu
 
Wewe umesema west yeye akadakia fasta fasta east! Hizo mzumbe un,diamond, olimpio hata hazifahamu! Kama unabisha muulize muhimbili, Tumain hosp au makao makuu ya JWTZ yapo pande zipi!

Unachekesha kama avatar yako....
Unajua Tumaini Hospital na makao makuu ya Jeshi tu??? au ndio unapotibiwa ukitoka Kimara?

Wewe hukujui kabisa huku, bht namuamini
 
Aah Boflo bana hasomi anakaa tu mitaa ile ya mfaume kabla hujachepukia barabara ya Mzumbe....pale kuna chipsi vumbi, basi nyumba inayofuata...lol

Haya basi mi nikija Dar ntakutafuta niku introduce kwake tuwe ndugu zaidi, si ndio B?
 
I mean area yote hiyo, mtaa wa mfaume, pale kibanda cha chakula na chips vumbi wanapokula wanafunzi wa Mzumbe, Kwa muchacho alipohamia sasa, huwa ninakuweko sana
 
Wewe umesema west yeye akadakia fasta fasta east! Hizo mzumbe un,diamond, olimpio hata hazifahamu! Kama unabisha muulize muhimbili, Tumain hosp au makao makuu ya JWTZ yapo pande zipi!
Ohoo Rejao Boflo wa upanga east huyo si unacheki mwenyewe pale mzumbe anaendaga sana tu....
 
I mean area yote hiyo, mtaa wa mfaume, pale kibanda cha chakula na chips vumbi wanapokula wanafunzi wa Mzumbe, Kwa muchacho alipohamia sasa, huwa ninakuweko sana
Kwa muchacho ndo hapo palipofanyiwa renovation karibuni?
 
Ukitoka corner ya Mfaume na mzumbe, kwa mbele kidogo ndio kwa muchacho, ni muda sasa toka wamefanya renovation..

Ni karibu na jamati ya wahindi wa Ismailiya, Jioni watu wengi wanajaa siku hizi pale, Kuna washabiki wa Liverpool
 
Unachekesha kama avatar yako....
Unajua Tumaini Hospital na makao makuu ya Jeshi tu??? au ndio unapotibiwa ukitoka Kimara?

Wewe hukujui kabisa huku, bht namuamini
Hahah...yaelekea wewe una rafiki yako anayeishi mitaa hiyo! Mi nimezaliwa na kukulia sea view! Au unataka nianze kukutajia majirani zangu!!
 
Ohoo Rejao Boflo wa upanga east huyo si unacheki mwenyewe pale mzumbe anaendaga sana tu....
Anafahamu tu mzumbe huyo! Kwingine hapafahamu...hebu muulize shule mbili za secondary maarufu zinazofuatana zilizo mitaa hiyo kama anazifahamu!!
 
Agakhan, Olympio, Shabaan robert,

Sasa mbele ya Mzumbe kuna kanisa la walokole, wameweka Atm, kuna demu nampeleka pale kusali

Wewe itakuwa mmeuza nyumba yenu ya msajili, sasa hivi umehamia Kimara
 
Ukitoka corner ya Mfaume na mzumbe, kwa mbele kidogo ndio kwa muchacho, ni muda sasa toka wamefanya renovation..

Ni karibu na jamati ya wahindi wa Ismailiya, Jioni watu wengi wanajaa siku hizi pale, Kuna washabiki wa Liverpool
Aah sio hapo bana, mbona hapo mbali sana na kona ya mzumbe? Hapo si karibu na miembe ya gereji?
Hizo chipsi vumbi ni ukitokea tu kona ya mzumbe kuingia barabara ya mfaume, kulia kwako mwishono ni ukuta wa shaaban robert na kushoto ukishuka ndo utakuja kwa muchacho wako.

Kwa Bush je unapajua pale mtaa wa mazengo?
 
Agakhan, Olympio, Shabaan robert,

Sasa mbele ya Mzumbe kuna kanisa la walokole, wameweka Atm, kuna demu nampeleka pale kusali

Wewe itakuwa mmeuza nyumba yenu ya msajili, sasa hivi umehamia Kimara
Hahahaaa Boflo kwa mafiksi mi ndo nakupendeaga aiaee...
Olimpio ni shule ya msingi bana

Halafu wee kwani ni chaufer Boflo?
 
Ukija nitakupeleka kwa Mchacho tukapate kuku, Kama mtu wa kinywaji tutaenda Jolly Club..

Kuna Demu anaitwa Juliana Unamjua?? Amewahi kujadiliwa sana hapa Jf, alipata ajali Oman akafariki, alikuwa airhostess wa Oman Air, ni jirani yangu kabisa na ninajuana naye sana, she was very beautiful
 
Hahahaaa Boflo kwa mafiksi mi ndo nakupendeaga aiaee...
Olimpio ni shule ya msingi bana

Halafu wee kwani ni chaufer Boflo?

Hivi Olympio hawana sekondari pale sijajua, si unajua hapa kuna mashule mengi yanachanganya
 
Agakhan, Olympio, Shabaan robert,

Sasa mbele ya Mzumbe kuna kanisa la walokole, wameweka Atm, kuna demu nampeleka pale kusali

Wewe itakuwa mmeuza nyumba yenu ya msajili, sasa hivi umehamia Kimara
Hahahah...mkuu kweli upanga huijui! Hata hizo shule za secondari huzifahamu?????
 
Back
Top Bottom