GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,117
Mungu akufikishe siku hiyo aaminMwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.
Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Karibu kwenye dini ya kweli achana na hao wapiga pesa.Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.
Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.
Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Usisahau pia pesa za kujenga hizo shule mnachanga waumini na pesa za kujenga hospital ila muumini hawezi kumudu kusomesha mwanae hapo kwenye shule ya kanisa na hakuna offer yoyote.Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
Sasa mbona Waislamu wengi wanajaa kwa Mwamposa kila siku kwenda kuokoka!?Ni kweli..sio maji tu hata ukikwama nauli ukienda msikitini unachangiwa pesa mambo yanaenda..! Kule kwingine getini kuna mlinzi..! Na wao ndio wanachangia wachungaji wanunue magari..ila wao wakitaka magari wanaombewa..! Ila ngoja waje mkuu..
Sawa. Ila ubaki huko huko maana sisi hatuna watu wenye utoto utoto na upuuzi kama wako. Isije ikawa wenzio wamekutenga sasa unajaribu kutafuta attention huku kwetu. Sisi hatutaki mijitu mipumbavu. Tumepokea pongezi. Na hata Elimu, Matibabu na Malazi tunatoa bure. Njoo ukatibiwe akili yako.Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.
Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Kwa hiyo anayekujengea shule na hospitali na anayekukaribisha kwake ukale ubwabwa ni nani mwenye msaada zaidi?Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
Hata hapa nilipo Kuna msikiti Wana kisima, wanauza maji kwa ndoo sh. Mia tu, Kuna mmoja katika dini ya upande mwingine yeye anauza ndoo mia mbili, Tena anaangalia sura,Kama ulikuwa unapitaga umsalimii upati maji,Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.