Mimi ni mfungwa

Kama yupo aliyeelewa anieleweshe samahani
 
Mimi nimeambulia nunge yaani utadhani mashauri ya mjomba
Wapoti nimerudia kusoma nimemuelewa

Itakua kawapga dongo machichiemu
Hawamkumbuki Mzee mpaka uchaguzi ufike
 
Last edited by a moderator:
au labda nina usingizi, ngoja nilale nitaisoma kesho
 
Wapoti nimerudia kusoma nimemuelewa

Itakua kawapga dongo machichiemu
Hawamkumbuki Mzee mpaka uchaguzi ufike

Asante kwa kunielewesha jamaa anafaa kuwa mfuasi wa mjomba uandishi wake ni wa kisanaa
 
Last edited by a moderator:
Umesoma kabla ya kuandika mtoa mada sijui umelewa?
 
Jichangamshe kwanza kabla hujachangamkiwa...
 
Kizazi hiki cha shule za kata na ubongo flava hata kikeshe hapa hakiwezi kuielewa hii fasihi.. Shule za bongo sasa hivi ni majanga.. Wengine tumekuelewa sana acha haya madesa yaendelee kupiga kelele!!!
 
Kizazi hiki cha shule za kata na ubongo flava hata kikeshe hapa hakiwezi kuielewa hii fasihi.. Shule za bongo sasa hivi ni majanga.. Wengine tumekuelewa sana acha haya madesa yaendelee kupiga kelele!!!

naomba unieleweshe chief
 

Unaweza kusoma hata maandiko ya Shakespeare!
 
Fasihi uliyotumia hakuna Bavicha, Uv ccm,WAMA, 4 U Movement or team Riz1 yoyote anaeweza kung'amua. Muda huu kila mtia nia ni Mtu wa Mwl Nyerere, wapo walioenda kuomba kaburini, wengine wametafuta Hotuba zinazowapigia debe zile zinazopinga wizi bila shaka zina scratch hazisikiki.
 
Ukiwa na akili nyingi ukikutana na wa kawaida hawakuelewi kabisa. Watabakua oh! Hili oh! Lile. Kumbe wamebaki weupe! Pole kwa kutumika ewe mfungwa ndani ya nyumba yako!
 
Wapoti nimerudia kusoma nimemuelewa

Itakua kawapga dongo machichiemu
Hawamkumbuki Mzee mpaka uchaguzi ufike

Uko sahihi huu ni uwasilishaji kwa kutumia falsafa za kigiriki na kisukuma sijui huyu Mzanaki amejulia wapi kumpaka mtu kwa kujisema mwenyewe.
 
Kumbe unaomba kuwa mfungwa? Mimi nilifikiri kweli wewe ni mfungwa....Uzuri ni kwamba unajitambua kuwa una akili timamu, vuta subira hao watoto watakuja kukusalimu tu ila tafadhali usiwale wala kuwatishia usalama wao kwani hatutakuelewa ukifanya hivyo na hautakuwa na sababu tena ya kulalamika kwa nini watu hawakutembelei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…