Mimi ni fundi Simu, natafuta kazi

Mimi ni fundi Simu, natafuta kazi

unaweza kukimbiza meza mgambo wakija? nikuunganishe na dada ana meza lkn yeye anafanya mpesa. ofisi iko road mtaa wa masasi kkoo
Dah Haya maisha tabu, kazi shida kuipata na ukiipata napo hyo kazi shida km hvyo kukimbiza meza migambo wakitokea aisee [emoji26]
 
Heshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.

Nahitaji kazi wakuu au kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage pia nitashukuru sana

Naomba kuwasilisha.
Nipatie namba zako dm tuongee fasta bwana mdogo..
 
Ufundi tayari ni ajira, unataka uajiriwe na nani tena?. Hapa tafuta tu ushauri wa vifaa vya ufundi na wapi unaweza weka kijiwe cha ufundi simu uanze kupiga pesa kwa urefu wa kamba yako.
Barikiwa sana kwa ushauri,
Naelewa ninachokitafuta.
 
Sio lazima ataje mke....... lakini ndio tatizo lake hilo kaoa akiwa bado hajawa fit kifedha.... kama ni uongo abishe mwenyewe.
Wewe sio mhitaji wa fani yangu ni sababu unakomenti irrelevant

Wapo wahitaji

Anyway Asante kwa kuchangamsha uzi
 
unaweza kukimbiza meza mgambo wakija? nikuunganishe na dada ana meza lkn yeye anafanya mpesa. ofisi iko road mtaa wa masasi kkoo
Mkuu hapo Kariakoo nafasi zipo za kuweka meza?
Huwa wanalipa kodi?
Kama wanalipa Ni kiasi gani?
Kwa muda gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom