Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 696
Wakuu habari,
Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM.
Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu.
Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa Nkasi anaesisitiza katiba ibadilishwe ili rais aongezewe muda kwakuwa anafanya mambo mazuri.
Swali langu: Je, katika nchi hii hakuna watu wengine wenye nia njema na nchi yetu zaidi ya Magufuli?
Je, nchi hii sisi wengine hatutakiwi kuwa Marais?
Je, ule utaratibu wa kupokezana kijiti ndio unakufa?
Je, tunawafundisha nini watoto wetu?
Nakemea kwa nguvu zote na yeyeto atakayeenda kinyume na matakwa ya baba wa taifa alaaniwe kwa kumkosea heshima muasisi wa taifa hili
Lumumba kindakindaki