Mimi ni binti wa miaka 22, natafuta kazi nipo mkoa wa Iringa

Mimi ni Binti wa miaka 22 natafuta kazi nipo mkoa wa Iringa.
Nina elimu ya kidato cha nne na cheti cha Veta cha secretary pamoja na cheti cha JKT.
Nje ya nilichosomea nipo tayari kuuza duka hata sheli supermarket n.k vinavyofanana na hivyo asanteni.
Kama kazi itapatikana mkoa tofauti na Iringa nipo tayari pia kama nitaweza kukidhi.

Asanteni

Mimi nakutumia maombi tu Mungu akusaidie, na ukipata kazi akusimamie, maana dunia ni rough sana kwa mabinti zetu, hasa wadogo.
 
Yaani kwakuwa mdada ndio mnamshobokea, heri kumsaidia mwanaume mwenzangu aisee.
Mwanamke asaidiwe na mwanamke mwenzake, akisaidiwa na mwanaume anaona ni haki yake na mwisho wa siku atakuona una shobo.
Mwanamke hana cha kumpa mwanaune zaidi ya sehemu zake za siri ambazo Tandika unaweza kuzipata hata kwa buku.
Hakuna mwanaume aliyemsaidia mwanamke baadaye asijutie uamuzi wake.

Umelelewa vibaya sana, sikulaumu, nawalaumu waliokulea.
 
Yaani kwakuwa mdada ndio mnamshobokea, heri kumsaidia mwanaume mwenzangu aisee.
Mwanamke asaidiwe na mwanamke mwenzake, akisaidiwa na mwanaume anaona ni haki yake na mwisho wa siku atakuona una shobo.
Mwanamke hana cha kumpa mwanaune zaidi ya sehemu zake za siri ambazo Tandika unaweza kuzipata hata kwa buku.
Hakuna mwanaume aliyemsaidia mwanamke baadaye asijutie uamuzi wake.
Na ameshatumia silaha yake tayari ya ukike , yaani akaweka na jenda kabisa ili tamaa ziwawake, na mwanaume anayeendeshwa na sehemu zake za Siri ,tumbo na mdomo wake tayari ameshapigwa tatu bila kabla ya game kuanza. Hii uliyoandika Ni wachache watakaokuelewa. Mwanamke ukiwa unamsalimia ama unamsaidia anajua kigezo Cha nyeti zake Basi.
 
Mambo ya kibwege sana
 
Dada yangu JAMIIFORUMS hakuna kazi wala watu wa kukuunga na kazi, asiye kujua hakuthamini.

Chakufanya kama unandugu Dar mwambie akusaidie kutafuta, au kama vp take risk uje dar utafute mwenyewe UTAPATA we amini tu.

Ila huku JF wahuni wengi sana.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Uongo mimi binafsi nimeshaunganisha watu kadhaa na kazi hapa hapa JF
 
Mimi ni Binti wa miaka 22 natafuta kazi nipo mkoa wa Iringa.
Nina elimu ya kidato cha nne na cheti cha Veta cha secretary pamoja na cheti cha JKT.
Nje ya nilichosomea nipo tayari kuuza duka hata sheli supermarket n.k vinavyofanana na hivyo asanteni.
Kama kazi itapatikana mkoa tofauti na Iringa nipo tayari pia kama nitaweza kukidhi.

Asanteni
Mungu akusaidie sana upate kazi najua changamoto mpitiazo mabint wa rika lako
 
Kwamba ndoa ni ajira sio? Msiwe hivyo Wakuu, haipendezi, kama Huna neno ya kutoa faraja kwa mtu mwenye kiu na kazi ni bora hata kugonga button ya dislike kuliko kutamka haya Mkuu! Mnaiharibu sana JF vijana.

Reflection ya wengi wa Watanzania, kichwani empty kabisa...
 
Njoo dodoma nikipe Kaz ya kuuza hard ware yangu ila tu lzm utokea nyumbani kwangu ili nikudhibiti mwenendo wako
 
Vipi kwa mshahara wa laki 1 halafu malazi na chakula cha mchana bure! 😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom