Mpe jamaa yako mzigo ki nguo nguo kama zamani tulipokuwa wadogo. kwani hiyo njia haina madhara na utabaki Big K kam unavyotaka mrembo.
teh teh!!! Umetisha ndugu
Mpe jamaa yako mzigo ki nguo nguo kama zamani tulipokuwa wadogo. kwani hiyo njia haina madhara na utabaki Big K kam unavyotaka mrembo.
nawe bado unayo?
Kwani we unaonaje?
sizitaki tena kwanza to be honest hufaidi mapenzi labda ufanye nae kwa ajili ya kujitengenezea c.v au status tuYaani inasumbua mno bora ambaye hana.