Mimi ni bikra lakini

Mimi ni bikra lakini

Umenigusa sana na hii post, kwani hata mimi ninampenzi mwaka wa pili hataki kutoa tunda' tabia zenu zinafanana

Hahahah hilo tunda litakuwa na leakege anayeliwezea ni fundi wake tu we ni dereva. Ya fundi mwachie fundi.
 
Endelea kukataa tu. Kwani uchumba ni mpaka akufunue chupi? Huyo anakutaka tuu amalize hamu bila kulipa baasi. Nani alikuambia sex ni kufanya na kila mtu?

Kwa hiyo sex inabidi ilipiwe sio? That's something! Although it sounds a little whorish!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I see... Mentor is learning something.
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza,hivi bikra inapotolewa lazima damu itoke?
Mmmh nisije nimeingizwa mkenge kelele kibao hamna dam
 
Back
Top Bottom