Mimi ni bikra lakini

Mimi ni bikra lakini

Unazani bikira yako ina thamani sana na moyo wa mtu aya utajua tu kampe chake apasue naye ajisifu alafu una miaka mingapi?
 
Kalaghabaho!
Leo hakuna baridi kipande hiyo?

Habari ndio hiyo

Baridi leo ipo kwa sana tu ila jana usiku ilikuwa balaa
Leo kajua kidogo kana DIPU DIPU ....LOL!!!!!
 
Habari ndio hiyo

Baridi leo ipo kwa sana tu ila jana usiku ilikuwa balaa
Leo kajua kidogo kana DIPU DIPU ....LOL!!!!!
Hako kajua kananiudhi!!!!!
Hiyo baridi izidi tu soon uta beg for bora huduma
 
Hako kajua kananiudhi!!!!!
Hiyo baridi izidi tu soon uta beg for bora huduma

Ushindwe na ulegee
Hiyo bora huduma na ipite mbali sana

Na kajua kawake sana maana wewe unajidai mchoyo na huduma yako
Muone kwanza!!!!!
 
Ushindwe na ulegee
Hiyo bora huduma na ipite mbali sana

Na kajua kawake sana maana wewe unajidai mchoyo na huduma yako
Muone kwanza!!!!!

Haha ha ha haaaaaaaa!
Time will tell Baba Paroko
 
Haha ha ha haaaaaaaa!
Time will tell Baba Paroko

We'll see!
Na kama nikihitaji sana namuomba snowhite tu na ananipa huduma kwani kitu gani?
Utakaa hivyo hivyo...lol!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
We'll see!
Na kama nikihitaji sana namuomba snowhite tu na ananipa huduma kwani kitu gani?
Utakaa hivyo hivyo...lol!!!!!!

Ngoja tuone kama kiu ya juice inamalizwa na soda only because vyote ni vimiminika!!!!
 
ndivyo unavyomdanganya jamaaaaaaaa , bikra ya KICHINA HIYO
 
Umenigusa sana na hii post, kwani hata mimi ninampenzi mwaka wa pili hataki kutoa tunda' tabia zenu zinafanana
 
Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana na ananitaka tufanye mapenzi na mi sitaki mpaka tuoane, nifanyeje? ushauri jamani.

huyo sio wako. achana naye. kumbuka kufanya mapenzi kabla ya ndoa au nje ya ndoa ni uzinzi, na Mungu hapendi. ukimpa halafu akuache? utawapa wengine wangapi wanaokuambia wanataka kukuoa lkn wanata waonje kwanza? kama ni wako atakusikiliza, atavumilia na kukuheshimu.
dhambi ni tamu lakini.........
 
Back
Top Bottom