Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,190
Last edited by a moderator:
Mimi na mpenzi wangu
tunapendana sana na ananitaka tufanye mapenzi na mi sitaki mpaka tuoane,
nifanyeje? ushauri jamani.
Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana na ananitaka tufanye mapenzi na mi sitaki mpaka tuoane, nifanyeje? ushauri jamani.
^^
Wenye bikra hawana access ya mitandao
^^
Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana na ananitaka tufanye mapenzi na mi sitaki mpaka tuoane, nifanyeje? ushauri jamani.
Kubanjuka ww haukufai...hebu jarbu kua hata sista wa vilemba!usitoe kabsa kidudu chako mamieee!
Baba paroko Eiyer njoo uone huku!
Halafu utoe ushauri kwa upendo bint wa watu bikra huyo usimtishe akakimbia bure!!!
Sasa kama unajua kuwa wewe ni bikra na hutaki kufanya mapenzi kabla ya "ndoa" unakuja hapa kuuliza nini?
Halafu wewe nawe!!!!!
Mbona hujaniambia kuhusu ile shughuli?
Au mmeahirisha?
Mh kama wewe ni bikra na hutaki kuipoteza bikra yako why did u get ur self into a relationship???
Ulidhani huyo kaka anataka sura yako??
huyu sijui kaipata wapi?^^
Wenye bikra hawana access ya mitandao
^^
mimi na mpenzi wangu tunapendana sana na ananitaka tufanye mapenzi na mi sitaki mpaka tuoane, nifanyeje? Ushauri jamani.
Ulikataa huduma yetu na kuiita bora huduma
Na kama mlikuwa mnakuja na hiyo bora hamkuja kabisa!!!!!!!!!!