Mimi ni bikra lakini

Mimi ni bikra lakini

Kuwa na msimamo huo huo .huyo ni muhalibifu.hucmpe mpaka siku ya honey moon
 
Ukikibania sana ki papuchi chako kitachacha na utajuuuta kutokipa haki yake mapeema,
 
Jaman mimi mwenyewe n mwanafunzi,lakin huyo bikira nafikiri ni BIRIKA. -------.
 
naungana na mwana JF mwenzangu aliyepost leo asubuhi tutakoma kwa posts za kitoto mpaka hapo shule zitakapofunguliwJANUARY. WATOTO NENDENI TUITION, ACHENI MCHEZO HII DUNIA INAWAKA MOTO!

Mkuu washafunga shule hivi vitakuwa vya kawaida mpaka januari tuvizoee tu
 
mimi na mpenzi wangu 2napendana sana na ananitaka 2fanye mapenzi na mi sitaki mpaka 2oane nifanyeje? ushauri jamani

Mpe Kabang mbele mwiko uiachie ukiwa ndani ya ndoa
 
Sasa kama ni mchumba wako na mnapendana unamtunzia nani kama mwenyewe anataka kula msosi ungali jikoni!!!!!!
 
Mh kama wewe ni bikra na hutaki kuipoteza bikra yako why did u get ur self into a relationship???


Ulidhani huyo kaka anataka sura yako??
 
Back
Top Bottom