Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Every thing done under the sun is done by hope.....!heri yake hata aliitwa na baba akakataa, wengine tumezaliwa nje ya ndoa na hata hatukuwahi kuitwa wala kuambiwa na tupo poa tu.
Every thing done under the sun is done by hope.....!heri yake hata aliitwa na baba akakataa, wengine tumezaliwa nje ya ndoa na hata hatukuwahi kuitwa wala kuambiwa na tupo poa tu.
Kama ni mpagani je? Au na wewe ni mmoja wa wale wanaoAssume kila mtu anataka kwenda mbinguni akaimbe mapambio usiku na mchana?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nadhani huyu kijana amekuwa depressed toka alipokuja kufahamu kuwa yeye ni tokeo la indecency
Mara nyingi nimeona haya makitu yanaathiri watoto kwa sababu kunakuwa hakuna justification ya kwa nini ilitokea vile.....Na hii pia inategemea na malezi au watu wa karibu na kijana walivyomlea...kuna jamaa yangu alizaa na binamu yake (mtoto wa shangazi na mjomba toka nitoke)..yule mtoto sio siri amelelewa kwenye denial state ya ajabu na sasaivi yupo mbali sana na nyumbani kwa sababu nobody gave him a a welcoming face.......................
ujue baada ya mama yake kuzaa na shemeji yake, ndugu wanamtendea kama yeye si binadamu.
Wanamnanga na kumsimanga sana, kama vile si ndugu yao.
Nadhani huyu kaka amekua akiona mama yake anavyokataliwa na ndugu zake sababu ya kuzaa na shemeji yake.
Kimemfanya na yeye ajiweke kwenye kundi la kukataliwa.
Cha ajabu ana mdogo wake ambaye wala hajali na alikuwa karibu na baba yake na wale watoto wa yule baba kama kawaida. Ila mdogo wake ni binti.
huyu jamaa anahitaji kusamehe tu hana tatizo lolote lile...akiweza hapo ataona maisha marahic sana asipo samehe kuna possibility akafanya mambo ya ajabu mpaka watu watamshangaa ndo ulivyo msalaba wa kutosamehe unatesa maisha yote...Mtu kama huyo anahitaji kurejeshwa kwa upendo..Tatizo ni kuwa alikataliwa toka tumboni na jamii kwa kuwa yeye ni bastard son.Ni rahisi sana sisi wanadamu kumhukumu na kuzidi kudidimiza maisha ya mtu kama huyu kwa kuendelea kumtenga na kumzomea..Kinachotakiwa ni wewe uliyegundua hilo kumsaidia kwa ushauri na upendo mpaka hiyo mind set yake ifanyike upya.Kama ni mtu wa maombi pia yanasaidia sana kama ukimuombea..
haya huwa ni mameno ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.
Kisa chake kiko hivi.
Kijana huyu alizaliwa baada ya mama yake kupewa ujauzito na mme wa dada yake (shemeji) aliyekuwa anamlea mama yake.
Yule kijana akalelewa na mjomba wake na kusomeshwa hapo.
Kijana huyu hakuwahi kutaka mahusiano na baba yake kabisa. Hata amwite vipi alikuwa haendi, hata akiulizwa baba yake nani atajibu simjui ama hayupo ama jibu lolote lakini hakuwahi kumtaja yule baba.
Kijana huyu ana kazi, lakini ni mlevi mlevi mno, tena kazi nzuri ambayo tangua anaanza kazi mwaka '95 angekuwa mbali sana kimaisha.
Akiambiwa, ujue huo ulevi unajiabisha? Jibu lake huwa 'mie mwenyewe ni aibu tu tangu kuzaliwa kwangu, mtu gani sina hata baba?'
huyu baba yake aliugua muda mrefu akawa anamwita hapo waongee hakuwahi kwenda, ila kwenye msiba alienda na alishiriki kama mtu mwingine yeyote.
Sasa nachojiuliza, ni kwamba kijana huyu alishindwa kubeba aibu ya mama yake ya kuzaa na shemeji aliyemlea?
Na kitu kama hiki huwa kipo kweli cha mtoto kushindwa kusamehe mzazi?
Na kama kipo anaweza saidiwaje? Rehab?
He is such a wonderful soul basi tu sijui kachanganyikiwa na nini?