heri yake hata aliitwa na baba akakataa, wengine tumezaliwa nje ya ndoa na hata hatukuwahi kuitwa wala kuambiwa na tupo poa tu.
Yaani wewe umenenaaa haswaaa.mie baba nilikuwa nalisikia kwa watoto wa majirani zetu.lakini Mungu mkubwa ninaishi na nina watoto tena wenye baba.na furaha telee ndani ya familia yangu
He is such a wonderful soul basi tu sijui kachanganyikiwa na nini?
Strawberry ukishakubaliana na maisha haikusumbui, tena ninaloliona ni kuwa nina mali nyingi zaidi hata ya zile ambazo ningepewa na huyo baba aliyeingia mitini.
Nafikiri alitakiwa kuikubali hali halisi kuwa yeye ni mzao wa huyo baba na kisha afundishwe kusamehe. Yako mambo makubwa zaidi na mabaya yametendeka kuliko hilo la yeye kuzaliwa na baba ambaye ni shemeji wa mama yake. Ni kumsaidia kupambanua na kufahamu kuwa kwa vyovyote vile yeye hana kosa lolote na baba na mama yake walikosea kama binadamu na walipaswa kusamehewa kama anavyosamehe binadamu wengine.
Pamoja na mengi waliyoyasema wadau...ambayo kimsingi nayakubali...Hali ya kutaliwa na kila mtu lazima imemfanya ajione kama siyo binadamu....Ila kwa kuendelea na hali hiyo, he is killing himself slowly....
Hebu sasa na wewe mtendee ubinadamu kwa kuzingatia hayo maneno hapo juuu... Jitose kama msamaria mwema uokoe hiyo roho basi..
How will you feel siku moja ukimwona anacheka na kuruka ruka kama binadamu aliyekombolewa utumwani??
Play your part Kongosho....
How?...Changanya na zako...lol!!
Babu DC!!
Mamndenyi bana za kufish mwenyewe haziwi tamu kama za mwingine bana lol joke.Strawberry i will teach you how to fish kama ukitaka.
Mamndenyi bana za kufish mwenyewe haziwi tamu kama za mwingine bana lol joke.
Ila ntapenda ukini tich how fish ze fisherMongazzz.
Ili babangu ajilaani kabisa kwanini alimkimbia mama wakati wa ujauzito lol.
ujue baada ya mama yake kuzaa na shemeji yake, ndugu wanamtendea kama yeye si binadamu.
Wanamnanga na kumsimanga sana, kama vile si ndugu yao.
Nadhani huyu kaka amekua akiona mama yake anavyokataliwa na ndugu zake sababu ya kuzaa na shemeji yake.
Kimemfanya na yeye ajiweke kwenye kundi la kukataliwa.
Cha ajabu ana mdogo wake ambaye wala hajali na alikuwa karibu na baba yake na wale watoto wa yule baba kama kawaida. Ila mdogo wake ni binti.
du sijui huyu jamaa amelichukuliaje hili swala na kwa uzito gani ila kama ni mimi ningefurahi sana kama sio huyo shemeji asingelikuepo kamwe
Huyo kijana roho ya kukataliwa imekuwa ikimuandama toka akiwa tumboni. Na hili ni fundisho kubwa kwetu sisi wote kuhusu maneno tunayotamka juu ya watoto wetu hata kabla hawajazaliwa na tukifikiri kuwa hawasikii/hawaelewi...Tunasahau kwamba MANENO HUUMBA!
Sipati picha manyanyaso ambayo mama mtu alipitia kutokea ujauzito mpaka kujifungua huku mtoto nae akiyashuhudia na kukua katika mazingira hayo. Kijana huyu anahitaji kufunguliwa kiroho na kuvunja maneno, laana na maapizo yaliyotamkwa juu yake hata kabla hajazaliwa!
Yupo depressed his life is ----ed up .Wengi wanageuka kutumia drugs and all that .Pray for him show him love that's it.Ndio maana ukiwa na mzazi mlevi unaishia ulevi .mpe Sweet hughaya huwa ni mameno ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.
Kisa chake kiko hivi.
Kijana huyu alizaliwa baada ya mama yake kupewa ujauzito na mme wa dada yake (shemeji) aliyekuwa anamlea mama yake.
Yule kijana akalelewa na mjomba wake na kusomeshwa hapo.
Kijana huyu hakuwahi kutaka mahusiano na baba yake kabisa. Hata amwite vipi alikuwa haendi, hata akiulizwa baba yake nani atajibu simjui ama hayupo ama jibu lolote lakini hakuwahi kumtaja yule baba.
Kijana huyu ana kazi, lakini ni mlevi mlevi mno, tena kazi nzuri ambayo tangua anaanza kazi mwaka '95 angekuwa mbali sana kimaisha.
Akiambiwa, ujue huo ulevi unajiabisha? Jibu lake huwa 'mie mwenyewe ni aibu tu tangu kuzaliwa kwangu, mtu gani sina hata baba?'
huyu baba yake aliugua muda mrefu akawa anamwita hapo waongee hakuwahi kwenda, ila kwenye msiba alienda na alishiriki kama mtu mwingine yeyote.
Sasa nachojiuliza, ni kwamba kijana huyu alishindwa kubeba aibu ya mama yake ya kuzaa na shemeji aliyemlea?
Na kitu kama hiki huwa kipo kweli cha mtoto kushindwa kusamehe mzazi?
Na kama kipo anaweza saidiwaje? Rehab?
He is such a wonderful soul basi tu sijui kachanganyikiwa na nini?
mtoa uzi kama ni mcha Mungu ni vema akampa jamaa ushauri juu ya kumpa Mungu maisha yake (to be born again). bado hajachelewa maana muda wa wokovu ni sasa.
hapo kosa la huyo baba ni lipi ambacho kinalifanya liwe kuuuuubwa hata lisisameheke?huyo ni ujinga wake tu wa kimaisha na atakufa naokwanza yeye kalelewa vizuri tu,watoto wangapi ambao mama zao wamepata mimba katika mazingira hatarishi na wanawatafuta baba zaouseless man!nitaendelea.......source CHAI CHUNGU
Ujinga wake tu unamsumbua, watu tumezaliwa nje ya ndoa na tulivyokuwa tukamtafuta baba japo kumfahamu tu na bado maisha yanaendelea, wote tungekuwa na tabia kama yake sijui ingekuwaje
Huyo mtoto wa kiumeni kinachomsibu ni kushindwa kujikubali.
Akumbuke tu kuwa hakujileta duniani yeye ni watu wazima wawili waliokitana faragha wakafanya ya kufanya na akazaliwa.
Anachotakiwa kufanya ni kujikubali na kuendelea na maisha la sivyo atakufa angali kijana kwa stress zisizo na kichwa wala mkia.
Ndo sababu nasema ni ujinga wake tu, ameshazaliwa kwa mtindo huo he can't change anything, suala hapo ni kujikubali, cha msingi ajikubali aache mawazo mgando, kwanza yeye ndo alitakiwa awe karibu na mama yake kumsahaulisha maumivu ya kutengwa na kusimangwa na wanafamilia
heri yake hata aliitwa na baba akakataa, wengine tumezaliwa nje ya ndoa na hata hatukuwahi kuitwa wala kuambiwa na tupo poa tu.
kaka jamaa kajiendekeza tu anatumia maneno hayo kujidefend kumbe sio hivyo anaharibu bure
ajitahidi kurekebisha la sivyo kula kwake hiyo