Mimi ndo nitakuwa wa mwisho kufunga mlango wa CHADEMA ikifa

Kama mtu anategemea CDM siku moja itakufa basi atazeeka yeye - afe na kuiacha CDM ya watanzania ikipeperusha bendera!! CDM ni mpango wa Mungu - hauzuiliki kamwe!! watu wa Lumumba wanaujua mziki wake!
Mkuu cdm mpango wa mungu? Duh nashaur utuapatie source ya maneno yako,Mpango wa MUNGU n kuukomboa ulimwengu kupitia kwa YESU,may b ww uwe na source nyingine ya hayo unayoyazungumza!,
 
Usitudanganye wewe ni yule yule wenzako wanapiga siasa ya kuingiza pesa mifukoni wengine kumwaga damu KWA kofia ya ukombozi tumewashtukia
 
ziti ndio atakuwa wa mwisho kuondoka chadema

ZITTO ATAKUWA WA MWISHO MIONGONI MWA WASALITI AU ccmcdm(RANGI MBILI) WALIOKO CHADEMA KUONDOKA NA SIO WATU WENYE MAPENZI MEMA NA TANZANIA

MIMI NILIMWELEWA HIVYO
 
zito ni kijana mzalendo sana, wachumia tumbo wakina mbowe, slaa na lema wataondoka chadema watamwacha zito
 
Duh hadithi za akina tpaul hizi

CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2015 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya umeme, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha, EPA na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave in a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits the minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that many Tanzanians hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrendously, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
Last edited by a moderator:

Pole upo kwenye njozi ya mauti
 
Haya yote yanayotokea ni ukosefu wa ajira na kutokuwa na uhakika wa kula kwa siku
 
Ccm safari hii watapotea mazima na kitoto chao

Kitoto chenyewe Mama yake hajui baba yake mzazi ndio maana mara kiitwe Wazalendo mara kiitwe ACT-TANZANIA .....sijui Msajili alitoa hati kwa jina gani maana huwezi kuwa na chama ambacho hakijasajiliwa ..........
 
Mimi nasema CHADEMA haitokufa kabla nchi hii haijaonja faida ya rasilimali kibao Mungu alizotujalia.
 
Kumekuwepo na wimbi la watu ambayo ni ndumila kuwili kukaa wanatishia kuondoka Chadema na wengine kutimiza adhima hiyo.Kwa uchunguzi uliofanyika inaonyesha kuwa watu hao hawakuwa na utashi na chama bali waliingia kwakufuata kitu fulani.

Natumaini wenye mapenzi ya chama kama yangu wataniunga mkono ila wenye matumbo mapana wasiorizika lazima wataniponda sana. Lakini ukweli ni kwamba, mimi siondoki CDM ata kwa RUNGU kama la PEMBE mwigizaji wa vichekesho.

Chadema ndo imeleta neema ndani ya nchi hii kwa ku-boost chama tawala ili watekeleze ilani yao. Kutokana na hayo ndo sisi tumeneemeka

Mwenye ubishi na kuiona chadema ni mbaya ajitokeze mapema na ushahidi wake wa kuaminika tuone.
Utakuwa umekunywa kabisa ...."Maji ya magwanda yaliyochemshwa" amma umerogwa siyo BURE!Slaa alikuwa CCM,MBOWE(CCM),LEMA(CCM,NCCR,TLP&CHADEMA),LISSU(NCCR),MARANDO(CCM,NCCR&CHADEMA),MSIGWA(CCM).Wewe ni wa pekee sana ...."KOMAA UTATOKA"Maana Chadema wanapigania UKOMBOZI.
 
Back
Top Bottom