Kumekuwepo na wimbi la watu ambayo ni ndumila kuwili kukaa wanatishia kuondoka Chadema na wengine kutimiza adhima hiyo.Kwa uchunguzi uliofanyika inaonyesha kuwa watu hao hawakuwa na utashi na chama bali waliingia kwakufuata kitu fulani.
Natumaini wenye mapenzi ya chama kama yangu wataniunga mkono ila wenye matumbo mapana wasiorizika lazima wataniponda sana. Lakini ukweli ni kwamba, mimi siondoki CDM ata kwa RUNGU kama la PEMBE mwigizaji wa vichekesho.
Chadema ndo imeleta neema ndani ya nchi hii kwa ku-boost chama tawala ili watekeleze ilani yao. Kutokana na hayo ndo sisi tumeneemeka
Mwenye ubishi na kuiona chadema ni mbaya ajitokeze mapema na ushahidi wake wa kuaminika tuone.