Wewe ni Chadema kanda gani kaskazini au kanda ya ziwa.
Mimi ni CDM kanda ya kaska ambayo Rais lazima atoke huku.
Wewe ni Chadema kanda gani kaskazini au kanda ya ziwa.
Lazima itakuwa Tengeru tu.
Acha kejeli kwa watanzania wenzako kila mtu ana amini itikadi yake.
Lazima itakuwa Tengeru tu.
Aikambeee!! Pipozz.
Cdm kimeshakufa,ACT for for life.
Duh hadithi za akina tpaul hizi
Bhebhe Lusungo. jaga ukabhuche nungho
Bhebhe Lusungo. jaga ukabhuche nungho
Acha ujinga wewe mkombozi wako ni jasho la nguvu zako fanyeni kazi vijana Ulaghai wa chadema utawamaliza
We lyapugile kwelikweli
Unanuka dhiki
We mimi najitambua sio mjinga kama wewe kuwadi wa ccm usiye na huruma kwa watanzania wenzako lyapugile mkubwa wewe