Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Ungejitambua usingenuka dhiki
Hivi zinakutosha kweli?
Ungejitambua usingenuka dhiki
DRWHO,
Ama kweli wewe daktari! nimekupata na dose yako imenisaidia sana.
tena hapa umezua hoja moja kali sana... Hii EAC ina maana Mkenya na Mrwanda anaweza kabisa kuwa na nafasi ndani TZ na asihoifiwe kuliko mimi?. I mean jamani hizi dialogue kwa mzawa hata nashinda kuzielewa hali mgeni anapeta na uraia wetu kirahisi tena kwa nia mbaya.
Matatizo yote ya nyuma tumeyapata kutokana na Wageni kuwa na pasi zetu lakini nashangaa wageni bado wanasikilizwa kuliko sisi. I think kama kweli serikali inataka kuangalia swala hili la Uraia basi WAGENI ndio ingekuwa issue muhimu zaidi.[/QUOTE
Hivi zinakutosha kweli?
Zinanitosha ndio maana sinuki dhiki kama wewe
We unaupungufu wa akili
Wewe ni Chadema kanda gani kaskazini au kanda ya ziwa.
We unaupungufu wa akili
Hivi zinakutosha kweli?
Wote wanuka dhiki tuu
Kumekuwepo na wimbi la watu ambayo ni ndumila kuwili kukaa wanatishia kuondoka Chadema na wengine kutimiza adhima hiyo.Kwa uchunguzi uliofanyika inaonyesha kuwa watu hao hawakuwa na utashi na chama bali waliingia kwakufuata kitu fulani. Natumaini wenye mapenzi ya chama kama yangu wataniunga mkono ila wenye matumbo mapana wasiorizika lazima wataniponda sana. Lakini ukweli ni kwamba, mimi siondoki CDM ata kwa RUNGU kama la PEMBE mwigizaji wa vichekesho.Chadema ndo imeleta neema ndani ya nchi hii kwa ku-boost chama tawala ili watekeleze ilani yao. Kutokana na hayo ndo sisi tumeneemeka
Mwenye ubishi na kuiona chadema ni mbaya ajitokeze mapema na ushahidi wake wa
Unadhani uko peke yako mkuu, Hapo kuna mnyororo wa watu wanaojitambua
Zinanitosha ndio maana sinuki dhiki kama wewe
Kumekuwepo na wimbi la watu ambayo ni ndumila kuwili kukaa wanatishia kuondoka Chadema na wengine kutimiza adhima hiyo.Kwa uchunguzi uliofanyika inaonyesha kuwa watu hao hawakuwa na utashi na chama bali waliingia kwakufuata kitu fulani. Natumaini wenye mapenzi ya chama kama yangu wataniunga mkono ila wenye matumbo mapana wasiorizika lazima wataniponda sana. Lakini ukweli ni kwamba, mimi siondoki CDM ata kwa RUNGU kama la PEMBE mwigizaji wa vichekesho.Chadema ndo imeleta neema ndani ya nchi hii kwa ku-boost chama tawala ili watekeleze ilani yao. Kutokana na hayo ndo sisi tumeneemeka
Mwenye ubishi na kuiona chadema ni mbaya ajitokeze mapema na ushahidi wake wa kuaminika tuone.
Sidhani kama ccm kuna ilani ambayo inatekelezwa. Siku zote huwa nasema ccm inatakiwa ipigwe marufuku kama BAARTH ya Iraq au NAZI ya Hitler. Period.
no democracy kwenye chama....wanaforce watu fulani wawe viongozi wa milele...dr slaa anatambua kwamba hamuwezi kijana zitto na ndo maana wametengeza njama za kumtoa...hiki chama kwa sasa kinafanana na CCM...watanzania hatuna chaguo...CCM brain zimechoka, chadema washakuwa infected na yule virus anaesumbua ubongo wa CCM...othr political parties hopeless..future yetu ni giza