Mi najua maduka yapo ilala na kkoo tu.huku mpaka uingie kanisani.
Ntaagiza
8 ni sweet winemi hata sijui nichagulie yoyote
Lakini mi nataka kuyumba hivyo tufanye chupa nne8 ni sweet wine
13 mostly ni dry sweet..
tuanze na 8 sweet white π hiyo hata chupa mbili unamaliza bila kuyumba
Mwanafunzi day one unataka uyumbe ili ugundue nini?Lakini mi nataka kuyumba hivyo tufanye chupa nne
Unanichosha Sasa. Vitabu gani hivyoChunguza na maua?
Vizuri sana.Starehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula
Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia.
Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata kabla sijaanza chekechea tayari najua kusoma na kumultiply,kujumlisha.kuna muda nlikuwa nasoma kitabu chote Kisha nangojea ufafanuzi tu darasani.imagine mwalimu anasema haya Fulani nyanyuka utusonee hadithi sijui ya pwagu na pwaguzi,mie nakaa pembeni Kila aya tayari nshaisoma ipo kichwani.
Turudi Sasa kwenye kusoma mie sijui ndio nimeumbwa,ubongo wangu hauchoki,ukichoka basi nasinzia.
Tangu Niko mdogo biblia naijua kuanzia mwanzo mpaka ufunuo namaliza. Magazeti ya kiu,the guardian,mwananchi,nipashe,sani.nasoma kuanzia ukurasa wa mbele mpaka mwisho.
Majarida ya FEMA yote nimesoma.na ndipo nlipopatia elimu ya ujana.yani ninyime chochote ila sio kitabu nlichokipenda,ninyime vyote ila sio gazeti.nlikuwa nkiboreka natafuta gazeti au kitabu,nkikukuta unasoma nakwambia kabisa ukimaliza naomba.nilikuwa nikitembea njiani naokota vipande vya magazeti nasoma huku natembea.ukinikuta nasoma Niko mbali hata ulimwengu wa nje sijui Nini kinaendelea.marafiki wa utotoni baba Yao alikua anafanya kazi ipp media,wanapewa magazeti Kila siku anarudi nayo.imagine natoka Naenda kwao kuchukua magazeti nasoma Kisha narudisha.majirani kule kwingine wanajua kabisa Abby anakuja kufata gazeti,ama akishasoma ananipa.
Ilifika kipindi nkipata pocket money nanunua magazeti njiani Kwa wale walikuwa wanauza kwenye meza.ni nadra kukuta kabinti kadogo miaka Ile kunanunua gazeti zaidi wazee na wafanyakazi.
Nlipopata kuingia kwenye zama zingine za tech nikaacha taratibu magazeti na vitabu hardcopy na kuhamia huku.
Huo ulevi ndio ulinifanya niijue jamiiforums tangu 2015 na tagu niingiie humu nikaona ni eneo mojawapo sahihi Kwa ulevi wangu..kusoma!
Mie bila kusoma Kwa siku ni kama Teja wa visungura au madawa akikosa ndio ubongo wangu unakuwa hivyo.
Simu ikiharibika huwa napata tabu sana.kama nlitaka siku isonge nikae karibu na rundo la vitabu.
Ilifika wakati watu nliokuwa naishi nao wananishangaa.niko tofauti na wengi.
kati ya zawadi niletee gazeti au kitabu au jarida nafurahi mno
Je hii ni kawaida?
Huwa nasoma Kwa minajili ya kujifunza kitu jipya.sibaguiVizuri sana.
Sasa unasoma kitabu gani? Kwa nini unasoma hicho?
Ni burudani isiyochosha.Yaani wewe ni mimi kabisa,kusoma na kujifunza vitu vipya ndo starehe yangu kubwa. Tena sasahivi vitabu vinapatikana online for free ni raha sana. Yaani unasoma kitabu hiki unaona ni kizuri ukishika kingine unaona kizuri zaidi. Sijutii kupenda kusoma
Yaliyopita si ndwele, umenikumbusha mbali sanaaa. Hongera lilikuwa zuri mnooAsante sana kwa kutambua mchango wa fema magazine(zamani femina hip magazine)
-nimekuwa balozi wa femina hzo na nakumbuka mwaka 2007 feb, tulifanya mkutano wa kwanza wa femina hip youth conference pale silversand hotel dsm, mgeni rasm alikuwa first lady salma kikwete wakiwa wameambatana na magreth sita i think alikuwa waziri wa elimu kama sijakosea. Nilifanya presentation hadi amabilis batamula cornel, na minou fuglesang, gloria mkoloma, wakawa wanaenjoy na kujilamba
Umenikumbusha mbali sana, kupitia fema tuliandaa kitabu chenye shuhuda za watu mbalimbali walio negative kiitwacho "YALIYOPITA SI NDWELE" tulishirikiana na mwanzo millinga.
- hongera sana na biblia umesoma sana au kdogo?
Yes yes,ila ambao hawana huu uraibu wa kusoma hawaelewi. Ni raha mnoo jamani kujifunza vitu vipya kila siku. Kila kitabu kinakupa kitu ambacho usingekijua kama usingekisoma. Na kuna ile kitabu kinakubamba hadi kila ukipata muda wa free unacho. Nakumbuka kitabu cha Smart Money Woman kilivyonibambaNi burudani isiyochosha.
Mimi ni rich dad poor dad.Yes yes,ila ambao hawana huu uraibu wa kusoma hawaelewi. Ni raha mnoo jamani kujifunza vitu vipya kila siku. Kila kitabu kinakupa kitu ambacho usingekijua kama usingekisoma. Na kuna ile kitabu kinakubamba hadi kila ukipata muda wa free unacho. Nakumbuka kitabu cha Smart Money Woman kilivyonibamba
The Art of WarMimi ni rich dad poor dad.
30 days habits
The secret
MwanahalisiStarehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula
Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia.
Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata kabla sijaanza chekechea tayari najua kusoma na kumultiply,kujumlisha.kuna muda nlikuwa nasoma kitabu chote Kisha nangojea ufafanuzi tu darasani.imagine mwalimu anasema haya Fulani nyanyuka utusonee hadithi sijui ya pwagu na pwaguzi,mie nakaa pembeni Kila aya tayari nshaisoma ipo kichwani.
Turudi Sasa kwenye kusoma mie sijui ndio nimeumbwa,ubongo wangu hauchoki,ukichoka basi nasinzia.
Tangu Niko mdogo biblia naijua kuanzia mwanzo mpaka ufunuo namaliza. Magazeti ya kiu,the guardian,mwananchi,nipashe,sani.nasoma kuanzia ukurasa wa mbele mpaka mwisho.
Majarida ya FEMA yote nimesoma.na ndipo nlipopatia elimu ya ujana.yani ninyime chochote ila sio kitabu nlichokipenda,ninyime vyote ila sio gazeti.nlikuwa nkiboreka natafuta gazeti au kitabu,nkikukuta unasoma nakwambia kabisa ukimaliza naomba.nilikuwa nikitembea njiani naokota vipande vya magazeti nasoma huku natembea.ukinikuta nasoma Niko mbali hata ulimwengu wa nje sijui Nini kinaendelea.marafiki wa utotoni baba Yao alikua anafanya kazi ipp media,wanapewa magazeti Kila siku anarudi nayo.imagine natoka Naenda kwao kuchukua magazeti nasoma Kisha narudisha.majirani kule kwingine wanajua kabisa Abby anakuja kufata gazeti,ama akishasoma ananipa.
Ilifika kipindi nkipata pocket money nanunua magazeti njiani Kwa wale walikuwa wanauza kwenye meza.ni nadra kukuta kabinti kadogo miaka Ile kunanunua gazeti zaidi wazee na wafanyakazi.
Nlipopata kuingia kwenye zama zingine za tech nikaacha taratibu magazeti na vitabu hardcopy na kuhamia huku.
Huo ulevi ndio ulinifanya niijue jamiiforums tangu 2015 na tagu niingiie humu nikaona ni eneo mojawapo sahihi Kwa ulevi wangu..kusoma!
Mie bila kusoma Kwa siku ni kama Teja wa visungura au madawa akikosa ndio ubongo wangu unakuwa hivyo.
Simu ikiharibika huwa napata tabu sana.kama nlitaka siku isonge nikae karibu na rundo la vitabu.
Ilifika wakati watu nliokuwa naishi nao wananishangaa.niko tofauti na wengi.
kati ya zawadi niletee gazeti au kitabu au jarida nafurahi mno
Je hii ni kawaida?
Vitabu vya aina hii ukivisoma vinakubadili ubongo 100%. Kwanza hauchukulii mambo kawaida kawaida,pili unakuwa unapofanya maamuzi hauwazi hapa tu unawaza mbali in deep,tatu unajaribu kufikiria response ya mtu mwingine kwa jambo lako kabla mwenyewe hajarespond. Ingekuwa amri yangu hakuna mtu kuwa kiongozi wa nchi nafasi yoyote ile kama hajavipitia hivi vitabu. Keep going.View attachment 3593578
Tupo ligi moja mdau... Sema mimi mambo yangu nayoyasoma ni magumu kidogo πππ MENEMENE TEKERI NA PERESI
Mhh hizi sio za kitotoView attachment 3593578
Tupo ligi moja mdau... Sema mimi mambo yangu nayoyasoma ni magumu kidogo πππ MENEMENE TEKERI NA PERESI
Hatari sana mwananguView attachment 3593578
Tupo ligi moja mdau... Sema mimi mambo yangu nayoyasoma ni magumu kidogo πππ MENEMENE TEKERI NA PERESI
Aisee,Starehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula