Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,177
- 13,003
- Thread starter
-
- #81
Zamani hukoUkute unapenda kusoma hadithi za chombezo kitandani.
Nipe hadithi za zamani ? Ukisoma androko na simba na kitabu cha sincerely?Zamani huko
Namaliza vitabu vya akina kiyosaki,Stacy,Rhonda bhryne,Napoleon hill na wengineo siwakumbuki majina
😂😂 Zinauzwa msikitini babyBiblia nasoma sana..shida ni kupata hardcopy sijui hata zinauzwa wapi
😄😄😄 Ntaenda kumuuliza imam sh ngapi kwanza Kisha nirudi kujichanga😂😂 Zinauzwa msikitini baby
Mhh sikujui hiko..Nipe hadithi za zamani ? Ukisoma androko na simba na kitabu cha sincerely?
Lindu ampiga kampilima je?Mhh sikujui hiko..
Nikitulia na umakini..Naenda vizuri tuduh! izo kurasa 10 mm nitaaziandika siku 5 au wiki kabisa ila kusoma no ploblem nateleza tu
Leta vya dodoma nijaaribuUmeshajaribu au nikuletee vya Dodoma 🍇
Sio bei.. 25,000 tu ( agano la kale na jipya😄😄😄 Ntaenda kumuuliza imam sh ngapi kwanza Kisha nirudi kujichanga
Alc 8 au 13 😋Leta vya dodoma nijaaribu
HapanaLindu ampiga kampilima je?
Chilunda apambama na chui?Hapana
unatafuta majini wewe 😁😄😄😄 Ntaenda kumuuliza imam sh ngapi kwanza Kisha nirudi kujichanga
Mi najua maduka yapo ilala na kkoo tu.huku mpaka uingie kanisani.Sio bei.. 25,000 tu ( agano la kale na jipya
mi hata sijui nichagulie yoyoteAlc 8 au 13 😋
Sawa mkuuUshugulishe ubongo kwenye kuvumbua vitu
HapanaChilunda apambama na chui?
Chunguza na maua?Hapana