Mimi Napenda mno kusoma

Asante sana
Ni kitambo na kazi yenu haikuwa ndogo.mbarikiwe
Yale majarida yenu na experience za watu ndani pia shuhuda vilinielimisha sana.

Wengine tulikulia mazingira ambayo kupata elimu ya ujana,uzazi,mahusiano,namna ya kujilinda na mengineyo ilikuwa ngumu.

Biblia nasoma sana..shida ni kupata hardcopy sijui hata zinauzwa wapi.
Umakini kwenye hardcopy unakuwa mkubwa zaidi kuliko softcopy.nadhani ni ule utaratibu wa zamani ubongo unakuwa umeadapt hivyo
 
Ila sister abiagail unapenda kujiamualia sana mambo
 
Una chaguo njema
 
Ila sister abiagail unapenda kujiamualia sana mambo
Sasa kama ndio ukweli nsiseme mkuuπŸ˜„
Walionisaidia mno
Imagine binti mpaka nabalehe naambiwa Kuna watu wanapiga puchu..najiuliza ndio Nini.
Pia sie wanawake haya mambo yetu ya mwezini tulikuwa tunaelimishwa na hawa
Nkisema wamenisaidia elewa wamenisaidia sana.
 
Nipo na wewe kwa umakini sana , kwa hizi kamba zako hapana
 
Sijui hata mi nimeandika kutokana na ulivyotoa comment tu nikaona kama kuna humour flani hivi, kwamba huyu si ndio nani yule alafu unasema hata hujui 😁
Bwashee wewe ni genius ila kapombe kidogo kamemisi kwenye ubongo wako, yani ukigonga pombe Tanzania itajivunia wewe
 
kila nikiandika comment naifuta, kila nikiandika nafuta.

Mtaani, kuna tofauti ya "kusoma" na "kusoma soma"


Swali ni, Je unapenda kusoma? au kusoma soma?

kama ni "kusoma" (formal education), basi bila shaka umejaza "A" za kutosha O-level, A-level mpaka Chuo kikuu.

Hongera, Abby Intellectual,
Prof. Abby.
Sister Abigail

I guess umekunja sana ma thesis, dissertation, umetema publications, ma research ya kuzidi.

Mkuu, unagawa lectures Chuo gani?
Sabb watu kama nyie inabidi mpige lectures kwa hizi prestigious universities za hapa TZ na 'duniani huko' .

na kama A-level ulipiga PCB, PCM, PGM au EGM.. basi heshima kwako zaidi.. HAT OFF!! πŸŽ©πŸ™ŒπŸΎ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…