😃 Anonymous IDna wew ndo ujiite majina ya contraceptive pills🤭🤭😅😅 why lakin
Kuna maziwa acha wogaNakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.
Mimi mbona nawala Sana wake za watu, tena wale Benki ni watamu hatari. Yaani 500k tu unamkula Kila wiki Kila mwezi anapotoka job kabla hajampelekea Mumewe nyumbani kwakeNakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.