HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 455
- 732
Umri Wa Mwanaume,,Akili Za Kivulana.....
Hajakosea. Ni fundisho kwa watu wnengine ili wabakie njia kuu.Duhh hebu kuwa na akiba ya maneno, sio kila kitu uje kuanika humu kijana 😳
Naona wababa wahuni mnajitokezaAcha kumsimanga baba yako...kama vipi ungejileta mwenyewe duniani....
Uvulana ni kuchepuka na wake wengine na kuacha mkeo na watoto wakiteseka
Umri Wa Mwanaume,,Akili Za Kivulana.....
Duh! Nilijua kuna mahala utaeleza kama alishakutana (fumaniwa) na msala kutokana na kutembea na wake za watu.Nakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.
🤣🤣🤣 kumbe dingi una uzoefu wa kutumia contraceptive. Achana na hizi JF IDs ni alias tu za kusitiri utambulisho.na wew ndo ujiite majina ya contraceptive pills🤭🤭😅😅 why lakin
"kuchepuka na wake wengine na kuacha mkeo na watoto wakiteseka,,Sasa Kama Ni Wake Wengineo Hapo Unachepuka Vipi Sasa Ni Halali YakoUvulana ni kuchepuka na wake wengine na kuacha mkeo na watoto wakiteseka
Chagua moja, unaogopa mke wa mtu au wanawake wote?Nakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.
Pole sana DUNIA NJIA_ BUSHOKEE HUYO KAIMBA.Nakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.
Kaka hii komenti imenifanya niwaze hapo ulipo pembeni Yako lazima una kinywaji changamshii 😊😊😊Wote watatu mke wa mtu , mtu mwenyewe na wewe mkiwa na akili timamu unaweza kuwa na huyo mke wa mtu usifumaniwe mpaka unakufa
Hapana bwashee , nipo live kabisa🤣Kaka hii komenti imenifanya niwaze hapo ulipo pembeni Yako lazima una kinywaji changamshii 😊😊😊
Ibumex wewe ni mdau mwenzangu wa afya mwandamizii senior 😂na wew ndo ujiite majina ya contraceptive pills🤭🤭😅😅 why lakin
Mwandikie babako meseji kama umeshindwa kuongea naye, alafu acha kuchafua wake za watu. Mzee alitumia ujana wake wewe pia una haki ya kuishi maisha unayotaka. Umeamua kumsaidia acha kumsimanga, wewe wote uliowabutua wako na wewe? japo sijui kama wewe ni KE/ME. Manake hapa jamii forums ni sawa na kiboksi cha mashahidi wa siri wa JamhuriNakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.
jana nimekutafuta uje tuselfike ila haujakuwepo,, kila nikikutag inagoma asee😪Ibumex wewe ni mdau mwenzangu wa afya mwandamizii senior 😂
Najianda hapa niende,
ORKESUMET