Tokea nisalitiwe na mimi kumpitia mke wa mtu, siwezi amini tena wanawake!

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,192
KISA CHA KWANZA

Niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke na niliendekeza kumpenda kupindukia na hilo ndiyo lilikuwa kosa langu kubwa. Mwanamke alikuwa anapata pesa na vitu vingi vya garama tu na kitandani alikuwa anapata anachostahili, ila alikuja kunisaliti na mtu ambaye hampi hata mia.

Hichi kipindi kilikuwa kigumu sana kwangu, kwa mtu mwingine angeweza kujiua kabisa ila nilipambana na ile hali hadi nikakaa sawa. Ila ilinichukua kama miaka 2 akili kuja kutulia na kukubaliana na hali.

KISA CHA PILI
Baada ya tukio la kwanza kupita nikahama kabisa ule mtaa nikaenda kupanga chumba sehem nyingine, ila ile nyumba ya mwanzo nliyokuwa nakaa kulikuwa na mwanamke ostadhat haswa ambaye alikuwa anaishi na mwanaume wake na kwa bahati mbaya mwanaume wake alikuwa anatambo kupitiliza.

Sometime tulikuwa tukikaa sehemu story za hapa na pale anasema kuwa mwanamke ili asichepuke cha kwanza anatakiwa ashindiliwe mashine kuanzia saa sita usiku hadi asubuhi ile mida ya adhana, ndiyo anasema anajifuta jasho anaenda kuoga mwanamke anasema asante.

Akadai yeye ndiyo hufanya hivyo ili mkewe asichepuke, na akawa anadai kuwa mashine ndefu na kubwa ni muhimu la sivyo kuchapiwa ni nje nje.

Ila wakati akijisifia hayo yote nakumbuka kipindi nakaa ile nyumba, niliwahi kuwa na ukaribu na mkewe ambao haukuwa wa kimapenzi ila nilikuwa nikimjali tu kipindi hicho mkewe mjamzito. Nilikuwa nikirudi namletea vizawadi zawadi vya supermarket, mkewe alipojifungua nikawa naishi na mwanaye kama ndugu, yaani nilikuwa mtu wa kujali na jamaa yake hakujua chochote. Yaani kama kumjali ila sio kimapenzi na mimi sikuwa naye kimapenzi na wala sikuwahi kufikiria kama ningekuja kumpitia.

Ile nimehama ile nyumba tu kupita miezi 2 yule mwanamke simu zikawa hazikatiki, sometimes anaweza piga mchana hata usiku kipindi mmewe hayupo utaskia anasema ananisalimu tu nami nikawa nampotezea.

Sasa kila kukicha alivyokuwa ananisumbua nikawa nasema sitokuja kutoka na mke wa mtu nilishajiapia, hivyo zile salamu nikawa nazichukulia kama ni urafiki tu.

Ila mda ulivyozidi kwenda nikaja kuona kuwa nitakuja kuonekana hanithi kama nitaendelea kujifanya siskii, maana alishaonyesha dalili za kunitaka kimapenzi wazi wazi nikawa nampotezea.

Ikafika siku nikapanga kukutana naye na nikalipia chumba hotel kabisa, ile kufika tu kumpigia simu akaniambia yupo njiani karequest bolt. Ila roho ya kutotembea na mke wa mtu bado ikawa inaniandama, nikagairi ile siku nikamwambia nimepigiwa simu ya dharura hivyo naondoka. Sijui siku hiyo alijiskiaje, ila nilikula hasara ya kulipa hoteli nikapotea.

Next time usumbufu nlipoona mwingi nikapita naye, ikawa kila napojiskia mmewe akiwa hayupo popote napomwita atakuja na namlala nitakavyo.

Kuanzia hapo kila aliye na mkewe tambua kuchapiwa ni swala la muda tu, ishi na mkeo kiakili ila usimuamini kupitiliza na mpende kiasi la sivyo siku utakuja kujiuwa.

Yaani nlichogundua wanawake huwa wanapenda sehem bila kujua wamependa nini, hata kama wanaume zao wana kila kitu nnje kutoka hawachelewi.
 
Hizi ni fikra zako, Fanya mambo yako achana na habari ya kumfikiria mwanamke kwanza siyo ndugu yako.

Mapenzi ya dhati utapata kwa mama yako ingawa si wote, kuna kina mama ni sawa na wachawi tu.

Hebu vijana mjitahidi kuingage akili zenu kwenye mambo ya msingi badala ya kuwaza mapenzi muda wote.
 
Hizi ni fikra zako, Fanya mambo yako achana na habari ya kumfikiria mwanamke kwanza siyo ndugu yako.

Mapenzi ya dhati utapata kwa mama yako ingawa si wote, kuna kina mama ni sawa na wachawi tu.

Hebu vijana mjitahidi kuingage akili zenu kwenye mambo ya msingi badala ya kuwaza mapenzi muda wote.
True
 
Mke kama wa masanja na mke wa nick wa 2 na yule wa mwinjaku siku nikigaiwa hela zangu za escrow napita nao kwasababu waume zao wanawaanika mitandaoni.
 
Hizi ni fikra zako, Fanya mambo yako achana na habari ya kumfikiria mwanamke kwanza siyo ndugu yako.

Mapenzi ya dhati utapata kwa mama yako ingawa si wote, kuna kina mama ni sawa na wachawi tu.

Hebu vijana mjitahidi kuingage akili zenu kwenye mambo ya msingi badala ya kuwaza mapenzi muda wote.
Kumbe nje ya matusi una busara zako?
 
Kuna video nimeikuta mtandaoni. Msemaji akaeleza; mara nyingi unakuta kwenye mahusiano mhusika A yuko na mhusika B. Wanapendana na wanakaa kwa muda mrefu.

Kinachokuja kutokea baada labda ya miaka 10 au hata 5 ya mahusiano( mi naweza sema hata ndoa pia) unakuta mhusika A anajisikia either kuachana na mhusika B au kutoka nje ya ndoa kama wameshaoana. Kuna rule inayoapply huitwa 90%-10% rule au 80-20 inayovunja huu muunganiko.

Huyu mhusika A atampata mhusika C. Huyu C unakuta anayo ile 10% au 20% ambayo mhusika B hana. Mhusika A anaamua kuendana nayo akidhania amempata mwenye 100% kwa sababu tu ameona ile 20% ambayo mhusika B hana. Baada ya muda anakuja kugundua mhusika C ana hiyo 10% au 20% tu na ile 80% ya mhusika B yeye hana.

Hapo ndo ataanza kuhaha maana kule kwa B kashaharibu na B ameshamove on either kuoa au kuolewa...ama walishatengana...yuko analea watoto wake...hapo ndio hutamani kurudisha majeshi kule lakini inakuwa too late..maji yamemwagika..kama atayachota na kisoda...shauri yake!!!
 
Back
Top Bottom