"Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.

Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
 
Kazi kweli kweli!
 
Mkuu mbona uko fast hivyo!! Tangazo linaisha nawe unatoka hewani; kama unaendesha basi umebanwa kwenye foleni.

Tuwaambie Clouds wasilirushe hilo tangazo kwa kuwa linadhalilisha. Linadhalilisha kwa sababu halina chembe hata moja ya ukweli. Chagua umeme wa uhakika; labda wa jua!
 
Kinachokushangaza ni nini kwa serikali ya Tanzania na watanzania? Mangapi ambayo serikali na CCM wanayasema ambayo hayana hata dalili ya mwelekeo? Hii nchi kila kitu tambarare tu, watanzania wenyewe ndiyo hao hata wakinenewa uongo mbele ya macho yao hawana hata ubavu wa kupinga au kuuliza juu ya huo uongo. Ni nini kitamzuia tapeli kama Ngeleja kuongea chochote kinachokuja akilini mwake?
 
Tanzania kama nchi tuna matatizo lukuki - na hili ombwe la uongozi ndo kinara. Sijui ni kwa kigezo gani rais alitumia kumteua huyu mwanasheria anaongoze wizara ya nishati na madini, mtu ambaye hawezi kukwambia chemical composition ya uranium ni nini.

Besides, Tanzania kama nchi kubwa kuliko zote East Africa tukiwa na kila resources za ku generate umeme we have been lagging behind other East African countries in terms of development.

POLITICIANS in the helm are the main cause of this, tuwalaumu. Hawana lolote wanalofanya zaidi ya kujilimbikizia mali wao, jamaa zao na marafiki.
William Ngereja is not an exception, he is a young man sailing in a wrong fishing boat. Kazaliwa Ziwani anaelewa kwamba anakokwenda siko. ILA ATAFANYAJE?
 
........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.

Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
It's because he has lost touch to Tanzania... He is busy entertaining himself
 
NASHANGAA HADI ****** JUZI anahutubia Taifa hakuthubutu kuongelea hili tatizo lililoanza kimyakimya...
Hawa mabwana wanaishi by hopes and dreams kuwa mvua zinazoanza zitajaza mabwawa fastafasta!..
Sasa hizi njia za dharula za Megawati60, 100, 75, 120,,55 zinapeleka wapi umeme?

TANESCO shamba la bibi, dharula hizo ndio makusanyo ya wanasiasa! Sijawahi sikia mpango wa kununua Generator hata siku moja!
 
Kuweni na subraa,mvua zimeanza kunyesha kila mahali hapa nchini mwetu na hivyo visima vitajaa na umeme utapatikana.Dunia yako,chaguo lako.,
lingekaa hivi hilo tangazo.
 
Nilifikiri tatizo la umeme ni hapa kwangu tu.Kumbe ni mgao wa nchi nzima?
Nilitaka kushangaa mbona mgao umekawia sana mwaka huu!!
Nilishakuzoea sana mgao nilikumiss sana.Karbiu tena nyumbani.
 
Hutaki akudanganye? Unataka shamba liote nyasi?

Kama unataka ukweli, hama TZ. Kwa uhakika umeme upo wa kutosheleza. Lakini ni lazima uzimike ili wewe na mimi tuanze kufikiria tatizo la umeme na tusije tuka anza kuzungumzia madhambi mengine ya siri kali. Si Unajuwa............!!!!

Back to square one.
 
Kuweni na subraa,mvua zimeanza kunyesha kila mahali hapa nchini mwetu na hivyo visima vitajaa na umeme utapatikana.Dunia yako,chaguo lako.,
lingekaa hivi hilo tangazo.

Mkuu inaonekana siku hizi kunyesha kwa mvua hakuna uhusiano na upatikanaji wa umeme!
 
Sipendi hiyo kauli yao,serikali nzima imehamia clouds kusema huo msemo!shame on them
 
........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.

Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
Hapa kuna Virus bado anatafuna na hawajaona ni kwa nini kero zinakuja na wanaziweka kimya kimya baadae wao kwa wao wanaanza kutoa taarifa tofauti kila kiongozi kama ilivyo kawa kwa serikali ya jk.Wanatoaga maelezo kila mmoja kivyake kama vile wameamka vyumba tofauti...Pepo la Jairo bado linaitafuna wizara mpaka JK aseme neno...
 
Hiyo ndo clouds,we hujui hata Baba Riz alikodishwa kurekodi tangazo la clouds seuze mr.megawatt,hamuwezi kuambiwa ukweli kama hampendi kuusikia,nyie mnapenda Blablaa na size yenu ni huyo mzaliwa wa msoga na disco danser wa zaman wa lango la jiji pale magomeni!!
 
Hamjawajua vizuri mawaziri wa JK. Karibu wote ni wale wale anaowasema Masaburi kuhusu kufikiri
 
Back
Top Bottom