Sipendi hiyo kauli yao,serikali nzima imehamia clouds kusema huo msemo!shame on them
hamjawajua vizuri mawaziri wa jk. Karibu wote ni wale wale anaowasema masaburi kuhusu kufikiri
........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.
Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
Bado tunahitaji majenerator ya mafuta? Wakianza kutaja generator ujue ni wizi mwingine unapangwa. Na hii mijamaa inaliendeleza sana tatizo la umeme makusudi kwa kuwa lina maslahi kwao.TANESCO shamba la bibi, dharula hizo ndio makusanyo ya wanasiasa! Sijawahi sikia mpango wa kununua Generator hata siku moja!
Siipendi hiyo kauli yao,serikali nzima imehamia clouds kusema huo msemo!
........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.
Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
wanaudhi sana waendelee kuwatia wananchi hasira wasijue wanajikaanga wenyewe!!
Mapinduzi kama ya Libya na kwingineko Africa ndiyo yanayohitajika Tanzania hivi sasa. Maana kwenye uchaguzi hawa wehu wana hela na wanaiba kura kwa kutumia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Wapinzani hawana hivyo vyombo wala hela ya kutosha kuhonga wapiga kura wote. So the best way hapa ni mapinduzi ya umma tu. Natamani niambiwe leo kuna maandamano ya kuiondoa serikali ya Kikwete madarakani. Hata ikinibidi kufa, nitafanya hivyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo vya nchi hii.Mkuu hivi unafikiri kuna mtu anayetiwa hasira hapo.
ukifika wakati wa uchaguzi tunaambiwa TIENI, TIE, TIENI, TIENI, TIENI, TIENI, NI KWA MOYO MMOJA NAMBARI WANI NI .......
Wanarudi wale wale kina NGE LEE JA tena.
Kama unataka kuamini subiri ARUMERU matokeo utaambiwa njano kijani wameshinda kwa 70%
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Huku kwetu songea tuna mgawo wa umeme! Kila baada ya siku 2, ndiyo taa zinawaka! Sina uhakika kama mr. Megawati analijua hili! Karibuni....!!!