Mimi na ndofu basi!

Bwana Erickb52 nimetoka Usa River kwenye siasa na tumepiga 6-3 nikapigiwa na jamaa wa Breweries na TRA, wamenituma kwako kuwa sitisha mpango wako wa kuipa talaka NDYOFU kwani wamesema watapata hasara sana na kuna some workers they won't get salary.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bwana Erickb52 nimetoka Usa River kwenye siasa na tumepiga 6-3 nikapigiwa na jamaa wa Breweries na TRA, wamenituma kwako kuwa sitisha mpango wako wa kuipa talaka NDYOFU kwani wamesema watapata hasara sana na kuna some workers they won't get salary.
Mi sirudi nyuma nasema sitaki na sidanganyiki ng'oooo yan ndofu mwisho coz imenipunguzia perfomance sana
 

Lazma kuna tatizo pahali. Si bure
 
Last edited by a moderator:

umeona eeeh! mimi na wewe bwana?
 
kama ameshazoea haina shida shem wangu, ila siku atakayolia you have me to deal with.......deal?
Naahidi kutomliza FP niamini basi jamani!
Halafu unajua mi nilivyo na furaha muda wote...inakuwa ngumu kumuumiza binti mstaarabu kama yeye...ametulia...mtoto ana upeo na misimamo yaani ananifanya nihisi nina bahati kama ambavyo ningekuwa na wewe au kama nilivyo na Amyner
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 nimemaliza ndyofu ya nne hebu niambie unasemaje vile
Blaki Womani siku hizi kanitosa hata salam hakuna na nitamshtaki the hague
Arushaone anasingizia eti siasa wakati hata USA hajafika alikuwa hapo ngulelo
 
Last edited by a moderator:
Ngoja kwanza niandae nguo za kesho . . . . .nitarudi baadae!
Manake umeme leo umetutenda sana!
Ok sawa mumy....
Pia najiandaa kupumzika usipinikuta see kesho...usiku mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…