Mimi na ndofu basi!

Mimi na ndofu basi!

Hajalogwa mtu..... Preta naomba muuige mfano wangu kama unakunywa achana na ndofu au bia yoyote please
Maisha yanabadilika na yameanza kwangu toka Ndofu hadi Fanta

nitaiga mifano mingine.....lakini sio huu.......
 
Naamini kweli kuwekwa kwenye chupa kumekuhusu mkuu. Kwa hiyo umehamia kwenye kesto lite au?
Baba V nimehamia kwenye Fanta Orange mbona hamuamini enyi kizazi cha nyoka? lol
Hebu igeni mfano wangu bhana
 
Last edited by a moderator:
nitaiga mifano mingine.....lakini sio huu.......
Heheheheee Preta usidhani natania mi nimeamua kuwa mfano mwema kwa jamii na naomba nawe jitahidi kukubali matokeo ya mimi kuachana na bia aina zoteeeee siumeona hakuna faida kubwa zaidi ya hasara?
 
Last edited by a moderator:
Huyo unayetaka kushirikiana nae hana lolote kwanza hanitakiagi mema hata kidogo labda ushirikiane na Judgement kaka yangu wa ukweli hana majungu kama wewe na Mr Rocky

huyo Judgement saizi ni wanted huku nilipo pamoja na machalii wote kwa sababu ndiye aliyekupoteza na ndiye aliyefanikisha mambo yote kwa Ciello!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe isumbue mahakama tu kifungo chako kitakuwa kikali ili iwe funzo kwa wote wenye tabia yako kama wewe. Mbona inasemekana miss chit chat Nov alikuwepo pembeni????
Dah cielo nilishamtema tangu mwanzo nilipoona manoah anamvizia halafu kadada kenyewe kanaabstain kwa nadra sana nkaamua kula zangu kona kwa Kipipi ndiko niliko kwa sasa ila sikuwa nae leo labda juzi mchana
 
Last edited by a moderator:
Heheheheee Preta usidhani natania mi nimeamua kuwa mfano mwema kwa jamii na naomba nawe jitahidi kukubali matokeo ya mimi kuachana na bia aina zoteeeee siumeona hakuna faida kubwa zaidi ya hasara?

unajaribu kunishauri kwa mbaaaaaaaali sana........endelea kujitahidi.....
hivi bila kinywaji baridi......maisha ni yapi sasa.....?
 
unajaribu kunishauri kwa mbaaaaaaaali sana........endelea kujitahidi.....
hivi bila kinywaji baridi......maisha ni yapi sasa.....?
Si ile kitu nyingine pia...tena ndo muhimu kuliko kinywaji baridi lol Preta hata fanta ntakuwa nakunywa ya baridi
 
Last edited by a moderator:
duh kumbe kile kidawa kinafanyaga kazi hivi
mkiva unajua ile dawa haihusiki hapa coz nimeamua mimi mwenyewe kwa akili zangu timamu tena bila shinikozo la kale kadawa....halafu kale kadawa nimeridhika coz alonipa nampenda sana hata kabla hajaniweka kwenye kachupa ninakokaenjoy lol
 
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic kuna jamaa kafika dau akaamua kutoa dukuduku lake umemalizanan nae tayari???? Maana aliimba nyimbo zote za kidhungu, kilugha, n.k ili umuelewe tehe tehe.

Taarifa ya erickb si ya kuipuuza.
Hahahaaa Mzee wa Rula hapo kwenye bold umeongea aisee niko namaanisha ingawa naweza shindwa coz Mwanza kuna kashetani lol yan watoto wale noma ndugu yangu dah
 
Last edited by a moderator:
Acha zakooo chalii wangu, unaacha kandofuuu..? Karibu basi ka banana au amigo... alafu bro mie, sio penda penda.... Mie ni pendwa pendwa na akina............. wanajijua
Hahahahaaaa yan we kila kona unataka dah unadhani uko mwanaume peke yako? Ntakulamba busha ukome we ngoja
 
Halaf mi nawashangaa wanaojibishana na Erickb52, hawajui kuwa tangu hapo anapandisha hii thread tayari ALISHALEWA!!
Hapa ni alcohol znafanya kazi ya kuendesha jamvi.!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ngumu kuacha sema unaahirisha kwa mda
Mute mi nimeamua kuachana nayo coz nimekuwa nikipumzika mara nyingi ila nashindwa najikuta nikikaa na Arushaone na Filipo naanza tena kuzidunga ila safari hii sibadili msimamo kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom