Umeona eeeh!Uzuri walevi ni wengi.....hapa ni mimi na FP ndio hatutumii
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo!
Faida za Ndofu:
1. Zinanipa kitambi cha kuzugia
2. Zinanipa raha kwa Muda
Hasara za Ndofu:
1. Zinanigombanisha sana na Amyner kila mara
2. Zinanifanya natoa tip kubwa kuliko Bill yenyewe
3. Nikiamka naumwa Kichwa sana na uchovu kila mahali hadi kifanyio
4. Nikinywa jumamosi then jumapili nashindwa kwenda kanisani
5. Nachelewa sana kurudi nyumbani
N.B: Huwa hazinifanyi kuwa penda penda kama manoah na Filipo
Kwa analysis hiyo nimeona faida ni chache kulinganisha na hasara hivyo natangaza rasmi kuwa Nimeachana na kunywa ndofu kuanzia sasa na nawaomba na wengine muige mfano mzuri nilioutoa kwa jamii!
Kwa hiyo ntakuwa nikitoka mihangaikoni nanyooka nyumbani kulala...kwa atakayenimiss anitafute kabla ya saa 12 jioni please mi na Ndofu basi nimehamia kwenye Fanta Orange!
View attachment 70296
Najua taarifa hizi zitawashtua Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa Rula LiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint C6 na wengineo ila ndo hivyo!
Sawa Kama umejitoa hata Mimi sipo nao pia na wala sina shida na mtu..
Mr Rocky rafiki yangu naomba umwite Erickb52 tumpe haya makitu anywe asahau shida za dunia. Ngoja niwaite na Mungi, Preta my wife Blaki Womani my wife, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, sweetlady Filipo PakaJimmy na Vin Diesel kama bado yupo hapa Arusha, tumkalishe jamaa tumpe haya makitu na atuone tukiyapiga, kwa kuwa nadhani tulimwelewa vibaya yeye hataki tu NDYOFU mengine mwake.. KIkao sjui tuweke wapi...
Hahahahaaaa ila mi sijabadilishwa na Kei nimaamuzi yangu jamani C6 ila M yangu inawabadili watu misimamo na kuachana na wapenzi wao kama alivyofanya The secretary kwa Bishanga
ushauri tumia hii juice ni nzuri kwa afya yako kabla ujahamia kwenye orangeView attachment 70372
Heheheee yan mi unanifananisha na serikali ya TZ? Dah madeni yenyewe nikiongea na Bishanga anayamaliza faster au nikijisogeza kwa The secretary sikawii kuondoka na dolar elfu tatu faster
Kapalampya nisichotaka ni kilevi hyo ina alc 7%ushauri tumia hii juice ni nzuri kwa afya yako kabla ujahamia kwenye orangeView attachment 70372
Arushaone unafikiri Erickb52 ni kuwa hataki kunywa basi
Mfuko umetoboka na mjini alikuwa anajifanya yeye ndo Bishanga wa arusha sasa pale alipokuw aanatarajia kupata njuluku pamekatika inabidi asingizie kuwa ameacha haya makitu
Angalia hata mtetezi wake Judgment haonekani tena kumtetea eti ndiopedeshee wa mjini wakati hata kuzungusha roundi mbili za ndyofu kunamshinda Mungi, Vin Diesel aliyekuja kimya kimya arusha, PakaJimmy, my wife mdogo sweetlady, my wife mwenyewe Dena Amsi, dada mkubwa Blaki Womani, Preta (sijui nikuite nani) Filipo aise hakikisheni kuwa Erickb52 anarejea kwenye mstari wa walaji wa hii kitu maana bruariz inakosa mapato na kodi zitashuka sana a tutakosa mishahara na kutengenezwa kwa barabara za olmatejoo
Erickb52 yupo machimboni anasaka................ akirudi ni raundi kwa sanaArushaone unafikiri Erickb52 ni kuwa hataki kunywa basi
Mfuko umetoboka na mjini alikuwa anajifanya yeye ndo Bishanga wa arusha sasa pale alipokuw aanatarajia kupata njuluku pamekatika inabidi asingizie kuwa ameacha haya makitu
Angalia hata mtetezi wake Judgment haonekani tena kumtetea eti ndiopedeshee wa mjini wakati hata kuzungusha roundi mbili za ndyofu kunamshinda Mungi, Vin Diesel aliyekuja kimya kimya arusha, PakaJimmy, my wife mdogo sweetlady, my wife mwenyewe Dena Amsi, dada mkubwa Blaki Womani, Preta (sijui nikuite nani) Filipo aise hakikisheni kuwa Erickb52 anarejea kwenye mstari wa walaji wa hii kitu maana bruariz inakosa mapato na kodi zitashuka sana a tutakosa mishahara na kutengenezwa kwa barabara za olmatejoo
Anything that froths is beer. Tazama maisha na mwanga mpya. Eh bana faida tupu.
Mr Rocky unataka kusema sweetlady ni wako?Arushaone unafikiri Erickb52 ni kuwa hataki kunywa basi
Mfuko umetoboka na mjini alikuwa anajifanya yeye ndo Bishanga wa arusha sasa pale alipokuw aanatarajia kupata njuluku pamekatika inabidi asingizie kuwa ameacha haya makitu
Angalia hata mtetezi wake Judgment haonekani tena kumtetea eti ndiopedeshee wa mjini wakati hata kuzungusha roundi mbili za ndyofu kunamshinda Mungi, Vin Diesel aliyekuja kimya kimya arusha, PakaJimmy, my wife mdogo sweetlady, my wife mwenyewe Dena Amsi, dada mkubwa Blaki Womani, Preta (sijui nikuite nani) Filipo aise hakikisheni kuwa Erickb52 anarejea kwenye mstari wa walaji wa hii kitu maana bruariz inakosa mapato na kodi zitashuka sana a tutakosa mishahara na kutengenezwa kwa barabara za olmatejoo
Mungi nilijua tuu jamaa anazisaka nanihii akirudi atarudi kama simba aliyejeruhiwaErickb52 yupo machimboni anasaka................ akirudi ni raundi kwa sana
Arushaone hapo pagumu sana kuita shemeji jina gumu kama dawa ya kienyeji bana eti shemeji ngumu kumesa aise utanisamehe mkuuHapo PEKUNDU Mr Rocky waite shemeji hao wote wawili. okay?