Mimi na mke wangu faizafoxy mweupe

Mimi na mke wangu faizafoxy mweupe

1011235_800067660015375_1774573118_n.jpg
 
1506767_547325395363481_2082597892_n.jpg


njoo ujioneee
Kiukweli mmependeza sana, na haswa baba unapikuwa mweusi, mama mweupe, anapokuzalia katoto ka kiume kalichofanana na mama na sio baba!. Hata mimi in reality hivi ndivyo ilivyo familia yangu, watoto wawili wa kwanza, wamefanana na baba na mama, baada ya wife kuhamia US, nimekuwa nikija ila this time vitoto vyote ni vyeupe tuu, vinafanana na mama tuu hata cha mwisho cha kiume!. Ila wote ni watoto wetu!, na sisi watu wa kanda ya Ziwa, wale wapenda weupe!, hatuna kabisa utamaduni wa DNA!.
Pasco.
 
mashaallah kitu kimetulia!!unafunua mwenyewe sii wale kila kitu nje nje hata hamu ya kuona tena hakuna
 
mashaallah kitu kimetulia!!unafunua mwenyewe sii wale kila kitu nje nje hata hamu ya kuona tena hakuna

Hahaa na ndo mana hamu inaisha mapema siku hizi..watu wanajiachia mno
 
Just curious (No offence),
Hivi mwisho wa Hijabu ni Getini, Sebuleni, Chumbani au Kitandani na Mwandani wako?
 
Dahhh shemeji katulia sio kama wale wanojiachia, maana hata chakula ukiacha wazi kinapoa ndio maana kinafunikwa ili kisipoe haraka na Nzi wasikinyemelee
 
mhhh mbona KIPORO hicho'??
naona kimepata mpashaji
 
Back
Top Bottom