Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,794
Lengo ni kukuzuieni mnaopenda vya watu, mkiona picha basi mnafuatilia!
Naomba picha mkuu....
Lengo ni kukuzuieni mnaopenda vya watu, mkiona picha basi mnafuatilia!
ha ha ha ha! huyo ajuza mayai yalishaungua yote!!
Labda akuchukue wewe mayai yako bado machanga!
ha ha ha ha! huyo ajuza mayai yalishaungua yote!!
Naomba picha mkuu....
mimi nina mbegu za kutosha kurutubisha mayai hata wewe kama unahitaji nitakugawia!
Sasa bibie umemkataza asichangie huu uzi maana haonekani au amechoka na shughuli
...faiza foxy a.k.a white widow hawezi kuwa mzuri hivi mkuu...
...ntake radhi kiongozi, kwetu maana yake ni Mfalme....