hahahahahahaha safi sanavijana wa .com mnamatatizo sana sisi wa S.L.P. mambo yenu ya uso wa kitabu hatuya jui
kwahyo gambe liendeleekawaida tu hiyo, kila mtu anayetaka anapata so usishangae, kwa kua ushanawa eat more
nashangaa hapa
hee kule sirudiSijuwi utakuwa mdogo wangu au mkubwa wangu, nikuombe urudi kule Facebook wasiliana na marafiki wakiume wakupe uzoefu
wao wamegalagana na wangapi ndani ya wiki moja, kisha utapata majibu. Tena kwa upole na umakini mkubwa wasiliana na
mabinti hukohuko Facebook wamepigana vibuti na Viselengeti boys mara ngapi utapata majibu. Baada ya hapo utagundua hao 7 .......
anatumia ipiMuungwana hatumii lugha kama hiyo.
hee kule sirudi
kwann mabinti wa facebook wanajirahisisha sana kwangu? au ni kwa kila mtu? maana nimeshagaragaza mademu saba kwa msaada wa fb wawili kutoka chuo kikuu cha saut mwanza wawili wa ifm na mmoja wa udsm. sasa najiuliza ni mm tu au na wenzangu yanawakuta?
Si umeweka lile li picha la KU EDITIWA ndo maana wanafikili we mzuri.
hata hvo mm mzuri niweka picha langu halisiSi umeweka lile li picha la KU EDITIWA ndo maana wanafikili we mzuri.
nimeweka yanguKumbe anawatapeli kwa sura bandia ndo maana hataki kurudi wamemshitukia watamwaga mboga maana kisha mwaga ugali!
hawasomibado wawili hujasema wa wapi?
Maana wawili saut
wawili ifm
mmoja udsm jumla 5 bado wawii!!!
Ni kwasababe wewe ni hb! then una mkwanja mrefu wa matanuzi na kuhonga! pia unajua kutongoza kuliko wanaume wote!kwann mabinti wa facebook wanajirahisisha sana kwangu? au ni kwa kila mtu? maana nimeshagaragaza mademu saba kwa msaada wa fb wawili kutoka chuo kikuu cha saut mwanza wawili wa ifm na mmoja wa udsm. sasa najiuliza ni mm tu au na wenzangu yanawakuta?
nimeweka yangu
hata hvo mm mzuri niweka picha langu halisi
Mwambie. Teenagers utawajua tuMajibu yake ungeyatafuta facebook, kwakuwa ndo uliwapata huko.....
kwann mabinti wa facebook wanajirahisisha sana kwangu? au ni kwa kila mtu? maana nimeshagaragaza mademu saba kwa msaada wa fb wawili kutoka chuo kikuu cha saut mwanza wawili wa ifm na mmoja wa udsm. sasa najiuliza ni mm tu au na wenzangu yanawakuta?