mimi na mabintu wa facebook

mimi na mabintu wa facebook

It is a such remarkable thing, right? seven that easily? can't you keep it to two or thre digits if possible? You are such a powerful man. keep on the pace.

“Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza yeye na nafsi yake.” (Mithali 6:32)
 
kwani watu wazima hawabanjuani
hilo neno lako hapo juu inaonyesha kuwa ni mtoto, unatakiwa ukakojoe ulale.
Pia Huna A.d.a.b.u huwezi kuuliza swali kama hilo ambapo wakubwa wameshakuelekeza.
 
huwa unakumbuka kutumia DuMe lakini...au unajicfu..utaenda na maji..
 
wewe endelea kujisifu kwa ujinga wako ,unajiona umepata kumbe umepatikana ,baada ya miezi mitatu nenda kapime na majibu usiayakimbie.
 
nnjia ya mjinga kujieleza ni kutukana

Am sory kama nilitumia lugha kali but what i mean ni kwenye tasnia ya mahaba we ndo kilaza coz, hakuna mwanajeshi anaejisifia kwa mapambano wala anaejivisha nishani, hata nduli IDD AMINI na upopompo wake hakujivisha alivishwa ila mkuu wangu unajivisha, ok na kiukweli wadada wa kizazi hiki wamekua very cheap, sema nao tu mkuu, ila jua hakuna shujaa wa mapenzi brooo!
 
Kati ya hao wa Mwanza kuna anayeitwa Corolyne?,kama yupo ndugu andaa mirathi ndugu!
 
Back
Top Bottom