Nyie endeleen kuokolewa hayo majahazi yenu, mtaokolewa mpaka mitumbwi!!!!/!Ukimuendekeza sana atakuwa hvyo,mm mke wangu mfanyakazi,anajifanya mshahara wake mdogo sana hatak kuchangia kitu home,namm sijihusishi kwenye shida za kwao,michango ya harus ya ndugu zake nk,MI nahangaika na mengine kwahyo si haba mzigo unapungua na sometime anaokoa jahaz Hali ikiwa tete
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app