Mimi mwanamke wa dizaini hii kaa mbali na mimi

Mimi mwanamke wa dizaini hii kaa mbali na mimi

Mungu Alisha mpangia kila mtu majukumu yake
We tafuta kwa jasho yeye azae kwa uchungu
Mbona warabu wakezao awafanyi kazi na bado wanapesa na hawalili ovyo huo ni uwoga wa maisha kama baba unae jielewa uwezi Lilia kusaidiwa majukumu na mwanamke
Naomba unitajie kazi ya mke wa sizonje?
Km vle upo akln kwangu yan haaahah asante sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nakuunga mkono aisee mke asiyefanya kaz anamfaa Tajiri,sisi vipato vya Kati na masikini tunahitaji mwanamke anayefanya kaz ili tusaidiane ktk baadhi ya changamoto,angalau bas ndugu zake awasaidie usiwe mzigo wako wewe,Kuna kukwama wewe kama mwanaume angalau aweze kuokoa jahaz sio mnatazamana mazima,
Mmh. Mkuu umesahau kuna wale wengine ni wafanyakazi lakini chake chake ila chako chake.
 
endelea kutafuta wenye kazi, ila jiandae kukutana na maneno ya shombo, hunitishi kwa lolote .
 
"Jobless women stay back with me"
ha ha ha... Kwa english hii huwezi pata mwenye kazi unaweza pata wa aina yako tu hiyo hiyo.

Maana wewe mwenye unataka asiye na kazi akae nawe....abaki nawe. Kwa nini usitumie tu lugha ya kiswahili?

Habari wana jf mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki ata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo

Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya kulea familia Jobless women stay back with me

Bora basi uwe na ata ujuzi lakini unakuta mwanamke hana ujuzi wowote yeye kila kitu anamtegemea mume aaaaaaaghrrr inaboaaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Minimependa hapo kwenye umaliziaji kwa luga ya bepari [Jobless woman stay back with me]....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu, lugha zingine msipende kujilazimisha ili muonekene wajanja.
Ona sasa ulivyo jiaibisha kwa kumuiga US baby....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mama yangu hakua na kazi lkn impact yake kwenye familia siwezi kuielezea, BTW kua mama wa familia ni kazi tosha
 
Mmh. Mkuu umesahau kuna wale wengine ni wafanyakazi lakini chake chake ila chako chake.
Ukimuendekeza sana atakuwa hvyo,mm mke wangu mfanyakazi,anajifanya mshahara wake mdogo sana hatak kuchangia kitu home,namm sijihusishi kwenye shida za kwao,michango ya harus ya ndugu zake nk,MI nahangaika na mengine kwahyo si haba mzigo unapungua na sometime anaokoa jahaz Hali ikiwa tete
 
tafsiri ya kazi wenyewe walishasema ni shughuli yoyote inayompatia mtu rikizi, sasa hapa sijaelewa unataka hadi aliyeajiriwa au anayejishughulisha mfano saluni, mama lishe, kuuza duka, baa, mkulima na nyenginezo!
 
Nakuunga mkono aisee mke asiyefanya kaz anamfaa Tajiri,sisi vipato vya Kati na masikini tunahitaji mwanamke anayefanya kaz ili tusaidiane ktk baadhi ya changamoto,angalau bas ndugu zake awasaidie usiwe mzigo wako wewe,Kuna kukwama wewe kama mwanaume angalau aweze kuokoa jahaz sio mnatazamana mazima,
Ndugu yangu hizi perception za kwamba mwanamke akiwa na kazi mtasaidiana kulea familia kakwambia nani
Kuna kesi kibao humu jf zinaletwaga utasikia Mara mke wangu cjuagi mshahara wake unapoteleaga wapi majukumu yote ameniachia Mimi,kusomesha Mimi mahitaji ya nyumbani ni mm

Na huyu ni anajiita mwanaume anakaa kulalamika lalamika hv huwa hatutambui majukumu yetu mwishone tukiitwa wanaume suruali tuanze kuandamana

Tuachage hizi mambo jamani ule msemo wa mwanaume kuwa kichwa cha familia unaonekana hauna maana sasa utaitwaje kichwa cha familia kama umezoea kulalamika ovyo ovyo bila sababu

Ile bado inabaki kuwa familia yako aijalishi mwanamke hajiusishi kwenye kusaidia hata kama kazi anayo regardless yeye mwenyewe ameona na inabidi asaidie inapobidi

La sivyo tutazidi kuzalauliwa kila siku

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jf mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki ata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo

Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya kulea familia Jobless women stay back with me

Bora basi uwe na ata ujuzi lakini unakuta mwanamke hana ujuzi wowote yeye kila kitu anamtegemea mume aaaaaaaghrrr inaboaaa

Post sent using JamiiForums mobile app
Mungu akusamee maana hujui uliandikalo
 
Wewe ndo mtongozaji. How come upate asiye na kazi? Tongoza wenye kazi zao. Simple!
Uyo atakuwa nae hana kazi pia ndo maana wenye kazi hawamtaki ndo anaishia kupata madem majobless wenzie wanakuwa wote mizigo juu ya mizigo. Ila hata mie dem jobless kwa kweli ni mzigo sitaki

Sent from iphone 7 plus
 
Ikatokea umempenda msichana kiukwelikweli na unaona anafaa kuwa mke utamuacha kwasababu ni jobless? Kwanini usimshauri au kumuwezesha apate shughuli ya kufanya?
 
Ndugu yangu hizi perception za kwamba mwanamke akiwa na kazi mtasaidiana kulea familia kakwambia nani
Kuna kesi kibao humu jf zinaletwaga utasikia Mara mke wangu cjuagi mshahara wake unapoteleaga wapi majukumu yote ameniachia Mimi,kusomesha Mimi mahitaji ya nyumbani ni mm

Na huyu ni anajiita mwanaume anakaa kulalamika lalamika hv huwa hatutambui majukumu yetu mwishone tukiitwa wanaume suruali tuanze kuandamana

Tuachage hizi mambo jamani ule msemo wa mwanaume kuwa kichwa cha familia unaonekana hauna maana sasa utaitwaje kichwa cha familia kama umezoea kulalamika ovyo ovyo bila sababu

Ile bado inabaki kuwa familia yako aijalishi mwanamke hajiusishi kwenye kusaidia hata kama kazi anayo regardless yeye mwenyewe ameona na inabidi asaidie inapobidi

La sivyo tutazidi kuzalauliwa kila siku

Post sent using JamiiForums mobile app
Ni hivi Kuna tofauti Kati ya mwanamke asiye na kazi na mwenye kazi,mwenye kaz hata kama hatoi pesa yake ktk mahitaji ya kila siku ipo siku au nyakati ambazo ataokoa jahazi,lakini pia Kuna vitu vyake binafsi atajinunulia mwenyewe na ndugu zake atawasaidia,asiye na kazi ni hopeless completely kila kitu ni wewe mpaka pedi
 
Back
Top Bottom