Mimi mwanamke wa dizaini hii kaa mbali na mimi

Mimi mwanamke wa dizaini hii kaa mbali na mimi

Ikatokea umempenda msichana kiukwelikweli na unaona anafaa kuwa mke utamuacha kwasababu ni jobless? Kwanini usimshauri au kumuwezesha apate shughuli ya kufanya?
Kama ni mzuri sana ntamla then ntamfungia vioo kama mzigo. Kwani kuna mabinti wengi mno wako single kwenye mabenki humo wako independent. Kuna madem hata uwasaidie vipi hawasaidiki angalia wemasepetu na wenzie ni mizigo tu ambayo ukijibebesha utaishindwa mwisho wa siku. Bora ule usepe

Sent from iphone 7 plus
 
Naamini hata ukipata mfanyakazi atakushinda tu Mkuu,
Hata kama hana kazi, unaweza kumfanya akawa na kazi tena ya kuingiza kipato kushinda hata mshahara wako kaka.
Labda mke wako huyo aseme yeye hataki kufanya kazi yoyote, hapo sawa nakubaliana nawe.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni hivi Kuna tofauti Kati ya mwanamke asiye na kazi na mwenye kazi,mwenye kaz hata kama hatoi pesa yake ktk mahitaji ya kila siku ipo siku au nyakati ambazo ataokoa jahazi,lakini pia Kuna vitu vyake binafsi atajinunulia mwenyewe na ndugu zake atawasaidia,asiye na kazi ni hopeless completely kila kitu ni wewe mpaka pedi
Naunga mkono hojaa
 
Ukioa mwanamke anashinda nyumbani bila kazi ya kuingiza kipato jua umeoa house girl na bado hujapata mke
 
wanaume siku hizi mnajisahau..acheni umama...we angali mtu unayempenda kwa dhati na anayekupenda hivo vingie viwe ziada Nukta.
 
Kama ni mzuri sana ntamla then ntamfungia vioo kama mzigo. Kwani kuna mabinti wengi mno wako single kwenye mabenki humo wako independent. Kuna madem hata uwasaidie vipi hawasaidiki angalia wemasepetu na wenzie ni mizigo tu ambayo ukijibebesha utaishindwa mwisho wa siku. Bora ule usepe

Sent from iphone 7 plus
Nimesema ukipenda. Hapo umeonyesha matamanio nazungumzia real love.
 
Kushindwa kuelewa suala zima la ndoa ni changamoto pia kwani kuoa mwanamke mwenye kazi yake nako ni mtiani tu, wewe inaangalia kwa mtazamo wa kusaidiana upande wa pesa ila ukweli ni kwamba mwanamke ni msaidizi wa mambo mengi sio suala la pesa.
 
Wanaume wenye hela za manati ndo huwa hivi ila mapedeshee wala wanachukua wanayempenda.
 
Mungu Alisha mpangia kila mtu majukumu yake
We tafuta kwa jasho yeye azae kwa uchungu
Mbona warabu wakezao awafanyi kazi na bado wanapesa na hawalili ovyo huo ni uwoga wa maisha kama baba unae jielewa uwezi Lilia kusaidiwa majukumu na mwanamke
Naomba unitajie kazi ya mke wa sizonje?
Bibi ya Sizonje alikuwa anasomesha watoto kwa ubao pale Mbuyuni primary( maeneo ya Namanga),sasa hivi najua ameshakuwa first lady hawez tena fanya kaz ya kipuuz kama hyo

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Unatafuta kuolewa ndugu, hiv bibi yako na mama yako wakat wanaolewa walkua na kaz?
Yaan mwanaume unakua muoga wa maisha unataka usaidiane na mwanamke we ni wa Sengerema asee subir usaidiwe na mengine kwa mkeo
 
Wakati we unasema hutaki mwanamke asiye na kazi, wenye wake walio na kazi wanatamani wake zao waache kazi wakae kuangalia familia!

Ni kwamba wengi wamekuta kwamba mshahara anaopata mwanamke hauonekani nyumbani kwenye budget!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Mtoa mada ajue kwamba kuna leo na kesho... asikufuru Mungu... mwanamke anaweza asiwe na kazi ila akawa bora kuliko hata huyo mwenyewe kazi...
Smart911 my king haya mambo haya mhmmhmhmhmh. Umesema ukweli japokua kuna baadhi ya wanaume wana dhana tofauti tofauti kama mtoa mada.. Ni kuomba mungu akupe umtakae tu my king...

Proud to have you Smart911
 
maumivu muache huyu kaka jaman alokwambia kazi ndo maisha nan kuna watu hawana kaz na wanamaisha ndio nyie wenye akili mgando umemaliza chuo unakaa kusubiri uajiriwe poyeeeeeeeee
 
Kwanza huu ni uoga Wa maisha,pili anaweza ukamuoa akiwa na kazi na asikusaidie hayo maisha unayotaka kusaidiwa,au akiwa nakazi siku akiachishwa utamuacha? Kila kitu kina adv na disadv zake,oa Mke usioe kazi utakuja kujuta vibaya kuna walokua kama wewe saiv akiskia mfanyakazi anatamani ajifiche maana anahic anaona balaa.

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom