ukikua utaacha.Habari wana JF,
Mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki hata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo. Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya kulea familia Jobless women stay back with me.
Bora basi uwe na ata ujuzi lakini unakuta mwanamke hana ujuzi wowote yeye kila kitu anamtegemea mume aaaaghrrr inaboa.
Post sent using JamiiForums mobile app
Akikua ataacha, wkt anawaona wtt wake wanawalilia asubuhi wao wote wanaenda kazn wanawaacha na mdada.Huyu atakuwa anaoa kazi sio bure.
Wakati mimi natafuta mwanamke asie na kaziHabari wana JF,
Mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki hata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo. Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya kulea familia Jobless women stay back with me.
Bora basi uwe na ata ujuzi lakini unakuta mwanamke hana ujuzi wowote yeye kila kitu anamtegemea mume aaaaghrrr inaboa.
Post sent using JamiiForums mobile app
Huu ndio uanaumeNdugu yangu hizi perception za kwamba mwanamke akiwa na kazi mtasaidiana kulea familia kakwambia nani
Kuna kesi kibao humu jf zinaletwaga utasikia Mara mke wangu cjuagi mshahara wake unapoteleaga wapi majukumu yote ameniachia Mimi,kusomesha Mimi mahitaji ya nyumbani ni mm
Na huyu ni anajiita mwanaume anakaa kulalamika lalamika hv huwa hatutambui majukumu yetu mwishone tukiitwa wanaume suruali tuanze kuandamana
Tuachage hizi mambo jamani ule msemo wa mwanaume kuwa kichwa cha familia unaonekana hauna maana sasa utaitwaje kichwa cha familia kama umezoea kulalamika ovyo ovyo bila sababu
Ile bado inabaki kuwa familia yako aijalishi mwanamke hajiusishi kwenye kusaidia hata kama kazi anayo regardless yeye mwenyewe ameona na inabidi asaidie inapobidi
La sivyo tutazidi kuzalauliwa kila siku
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahahahaaaaaa[emoji46] eeh M/Mungu nijaalie nipate kazi mm mambo gani haya sasa
Anaki-kivits kinampa kiburi mchambia rungu kachambia toilet paper."Ujana ni maji ya moto"
Kuna mvulana na pia kuna Mwanaume!!
Ungemuuliza mamake anakazi au ni mzigo kwa babake?Mungu Alisha mpangia kila mtu majukumu yake
We tafuta kwa jasho yeye azae kwa uchungu
Mbona warabu wakezao awafanyi kazi na bado wanapesa na hawalili ovyo huo ni uwoga wa maisha kama baba unae jielewa uwezi Lilia kusaidiwa majukumu na mwanamke
Naomba unitajie kazi ya mke wa sizonje?