Mimi mgeni, hodii

Upo kwa Sisi wa uswahilini. Mimi mwenyewe mjumbe. Nafurahia sana kusuruhisha ugomvi wa me na mke.Kifupi jamaa ataondoka mkewe anabaki kwangu kwa usalama zaidi. Ha ha ha

Mjumbe Sibonike kama utaratibu ndio huuu basi mimi itabidi suluhu niipate tu nyumbani kwa mjumbe sitafika hahahaha hahaha
 
huyu mgeni anayeanzia jukwaa la MMu mmm sijui
 

Karibu Lakini Wadanganye Hao Hao Kwani Huna Ugeni Wowote Isipokuwa Umeamua Tu Kuja Na ID Nyingine Na Sasa UNATUSANIFU Tu!
 
Karibu Lakini Wadanganye Hao Hao Kwani Huna Ugeni Wowote Isipokuwa Umeamua Tu Kuja Na ID Nyingine Na Sasa UNATUSANIFU Tu!

Mjumbe GENTAMYCINE, Mimi sio wale wa kuja kwa kubadili gia, Hapana Nimekuja kama Mgunyamweusi na nitabaki kuwa Mgunyamweusi siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…