Upo kwa Sisi wa uswahilini. Mimi mwenyewe mjumbe. Nafurahia sana kusuruhisha ugomvi wa me na mke.Kifupi jamaa ataondoka mkewe anabaki kwangu kwa usalama zaidi. Ha ha ha
Waheshimiwa wana JamiiForums hususani jukwaaa hili (MMU) naomba kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa pole na majukumu ya kila siku. Na baada ya salamu nabisha hodi katika jukwaa hili naomba nipokelewe. Nimekuwa nikipita na kusoma na kujifunza hili na lile sasa naomba kuwa mwanachama kamili. Asante
Karibu Lakini Wadanganye Hao Hao Kwani Huna Ugeni Wowote Isipokuwa Umeamua Tu Kuja Na ID Nyingine Na Sasa UNATUSANIFU Tu!