Mimi mgeni, hodii

Mgunyamweusi

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
19
Reaction score
1
Waheshimiwa wana JamiiForums,

Hususani jukwaaa hili MMU naomba kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa pole na majukumu ya kila siku, na baada ya salamu nabisha hodi katika jukwaa hili naomba nipokelewe.

Nimekuwa nikipita na kusoma na kujifunza hili na lile sasa naomba kuwa mwanachama kamili.

Asante
 
Owkey........sasa umekuja na nini......?......hapa grp ni full mdundo........hakuna kulala........leta sera.......
 
Nimekuja na Zawadi. Na nimekuja na guvu kwenda sambamba na hiyo midundo.😎
 
haya we mgunya wawapi hapa coast? wekoye,mpeketoni,shela,lamu islands
 
Hivi utaratibu wa nyumba kumi kumi upo kweli zama hizi? Kama upo naomba kuonyeshwa kwa mjumbe hahaha

Upo kwa Sisi wa uswahilini. Mimi mwenyewe mjumbe. Nafurahia sana kusuruhisha ugomvi wa me na mke.Kifupi jamaa ataondoka mkewe anabaki kwangu kwa usalama zaidi. Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…