Mimi kitalolo

Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
heheheeeee. 🙂 mkuu nimelipenda jina lako, yaani umeamua kujiita jina la chakula cha kichaga.. Duh! Mimi ninakipenda chakula hicho. Ok ndugu.. Karibu sana JF.
 
Njoo bana mradi usituchachie kama kitalolo kilichochacha
 
Ndio chakula gani hicho?
 
Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
<br />
<br />
Majina mengine humu ni haramu kwa wa2 wengine ktjk matamshi "KITALOLO" kikwe2 kama wanaume waliopitia jando hakika hatupiti hata street yenye tetesi ya kwmb leo amepika KITALOLO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…