Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine ambayo sijayataja niliyategemea kwa zaidi ya asilia 100
kwanza sina miaka 40 inayotakiwa na katiba, pili sio mwanasiasa maarufu yaani hakuna anayenijua kama walivyo wengine
Majibu yake ni kama yafuatayo;-
kwanza sina miaka 40 inayotakiwa na katiba, pili sio mwanasiasa maarufu yaani hakuna anayenijua kama walivyo wengine
Majibu yake ni kama yafuatayo;-
- Am over ambitious kwangu mimi naona ni tatizo tokea nikiwa mdogo nimejaribu kuachana nalo ila nashindwa
- Sio kila jambo unalolianza leo basi utalifanikisha mwaka huu au mda huo huo, na hapo ndo sisi waafrika tunapofeli, ukisoma historia ambazo zili-inspired dunia;- watu tofauti tofauti walizozianzisha zilichukua miaka mingi kuja kufanikiwa wengine baada ya miaka 10, wengine baada ya miaka 15 na wengine baada ya miaka 20 ndo zimekuja kufanikiwa mfano soma wakina Lenin na wenzake movement ilichukua mda mrefu kuja kufanikiwa, Mao Zedong na wenzake walichukua miaka mingi sana ndo wakafanikiwa, naweza raja mengi ila mimi kwa mfano naweza nikawa Rais wa Tanzania hata 2030, au 2035, au hata 2040 lakini cha muhimi ni nini ni maandalizi
- kwenye maisha sio kila jambo litakuja kwa njia ambazo tulizozizoea, yako machache yatakayokuja kwa njia za kipekee hasa yale yatakayoleta mabadiliko makubwa- ukisoma historia nyingi za dunia utagundua ziliandikwa in awkward way-kwa hiyo ni kweli sina eligibility ila hakuna ajuaye kitatokachotokea miezi 2, miezi sita miaka 2, miaka 3 au hata miaka 10
- kwenye maisha unatakiwa uwe unapige hesabu za mbali; changamoto kubwa sana ya waafrika hatuna hesabu za mbali mfano hakuna mtu serious aliyepiga hesabu za 2030 au 2040 na kuzifanyia kazi aggressive maono yetu sisi waafrika ni yale yale kujenga nyumba, gari n.k sipingi watu wasiwe na maono binafsi ila kiongozi ambaye analelewa kwenye mzingira kama haya yaani msisitizo ukawa ni kujenga nyumba, kununua gari ni ngumu sana kuja kuleta maendeleo kwenye sehemu husika sababu hajalelewa kwenye msingi wa kufikiria wengine akishika madaraka ataishia kujipiginia yeye na familia yake
- Mimi Dennis Roberts Shughuru, I will not settle for less nikimaanisha nia yangu ni kuwa Rais wa Tanzania sifanyi hiki nachofanya eti ili nijulikane alafu baadae niteuliwe kuwa mkuu wa mkoa, wilaya, waziri au nafasi nyingine hapana sio kwa nia mbaya hapana I will not settle for less, na nimeshapiga hesabu za mbali- najua wako watakaosema huo ni uongo wenzako walisema hivi mbona wakaja kulegeza kamba hapana mimi msimamo wangu ni i will not settle for less, ni msimamo mgumu sana ukizingatia kuna historia watu walioaminiwa na jamii wakaja wasaliti ila mimi niko tayari, na ntajitahidi nisiwadissapoint wale wanaoniunga na watakaoniunga mkono