Mlimazunzu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 415
- 52
<br />lugha!
<br />
Kuna mtu alisema ilikuja na ndege, mwingine akasema ilikuja na meli ikamwagika baharini haikufika yote
<br />lugha!
Sikumwambia Kwa Maneno,ila style tuliyokuwa tumefikia ilikuwa ni kila mtu na Hamsin zake,infact Distance ilichangia sana, na nilikuwa nakufa moyo coz alikuwa mzito sana when it comes to suala la mie na yeye ku meet,so one day nilimwambia kwa litakalotokea kati yaetu asinilaumu na akasema POAUmeshamwambia X kwamba it's over ama ulikuwa unamweka kama back-up incase it backfires with Y? nadhani hapo ndo tatizo lilipokuwa...n'way ndo nlichojifunza from ur hadith!
Dah,thanks Lot,natamani kukupa Contact za Y unisaidie kumfikishia ujumbe yaniPole sana kijana , ushauri wangu, bado hujachelewa mwite Y mwombe sana mkutane then mweleze yote hayo, kwamba unampenda sana na hauwezi ishi bila yeye, na muhakikishie kwamba ushaachana na X na la mwisho mjulishe x kwamba hauko nae tena umeamua unataka uwe na Y. mtakie maisha mema na usiangalie tena nyuma. nafikiri atakuelewa
Sio Siri, Y ana Rock my wolrd,sio siri namzimia sana YWewe unamtaka nan? Coz mistakes zako zote ushazigundua mwenyewe! Ungekua blinded tungekufumbua bt seems to be wise, then hata chronological yako ipo very arranged, we unampenda nan?
Sikumwambia Kwa Maneno,ila style tuliyokuwa tumefikia ilikuwa ni kila mtu na Hamsin zake,infact Distance ilichangia sana, na nilikuwa nakufa moyo coz alikuwa mzito sana when it comes to suala la mie na yeye ku meet,so one day nilimwambia kwa litakalotokea kati yaetu asinilaumu na akasema POA