Mimi B, Y na X | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi B, Y na X

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bramo, May 27, 2011.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,453
  Likes Received: 2,502
  Trophy Points: 280
  Mie B, Na date na Dada X,
  Inatokea X anakuwa MBALI nami kwa muda mrefu, najikuta Na nasa kwa Dada Y, she is hot and descent, anapata info za X, ananiulizia kuhusu X, nakana kuwa sina mahusiano tena na X (Mistake No1 ?), OFCOURSE NILISHAMAKE DECISON YA KUWA NA Y... as days goes on Y anakuwa curious sana na X, anaanza kusitasita kunipa staright answer whether amenikubali or not, mara quarral zinaanza,leo hv kesho vile,tuna settle but after one week ugomvi tena, X mara X anaanza kunitafuta tena, najikuta kutokana na Disturbance nazopata kutoka kwa Y pole pole naanza kumrudia X, niko na Y still 9Nampenda kichizi hadi kesho yani) though ma ugomvi kila kukicha, one day Y anaona sms za X kwenye simu yangu, though Y bado hajaweka wazi kuwa mie na yeye kitu na Box, ana mind sana baada ya kuona sms za X,Ugomvi unaanza upyaaa,nahisi ntampoteza Y, anaomba No ya simu ya X,nachomoa (Heri lawama kuliko Fedheha) (Mistake No2?) , anazidi kukasirika na kunishutumu kuwa nina date na X, naamua kuwa mbali na Y ili nimpe muda wa kujifikiria na mie kufikiria pia,after one week naona I real LOVE Y,namtafuta, anakuja kwangu,tunapiga story, nachombeza taratibu, HAMAD kashika simu yangu nakuchukua namba ya X, namwambia kwa confidence kabisa "Waweza m call kama una wish" (Mistake No.3 ), anasita, after 5 days ana mcall X,anamuulizia kuhusu mie, X anajimwaga mbayaa,anamwambia B ni Mume wangu,atanioa soon,na ole wake atakayejipendekeza atanitambua....
  Najua Pain anayopata Y, anaamua kujitenga, hapokei call zangu wala hajibu txt zangu though email anajikongoja ku reply.
  Sitak ku mdisturb Y, nataka apate amani ya Moyo na kufanya the right decision,
  I real love Y, naweza sema ali delay ku show that she love Me thats y haya yote yakatokea.
  Mkimuona Y mwambieni nampenda,nimeamua kuwa Mbaaaaaaaaaaali na X....
  One day i will sit down na kumueleza haya yote huenda akanisamehe....
  Nishaurini nifanayeje niwe na Y wandugu
  I learnt a Lesson here
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,658
  Likes Received: 8,211
  Trophy Points: 280
  Umeshamwambia X kwamba it's over ama ulikuwa unamweka kama back-up incase it backfires with Y? nadhani hapo ndo tatizo lilipokuwa...n'way ndo nlichojifunza from ur hadith!
   
 3. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,057
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Tuliza akili mwanaume!
   
 4. semango

  semango JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  pole sana kaka for taking the lesson the hard way,.daaah!tatizo mambo haya huwa hayana formular ila kikubwa kitakachosaidia ni kuhakikisha Y anafahamu hisia zako kwake na anaelewa situation ilikuaje mpaka ikafikia hapo ilipo, only then ndio utapata masamaha na huruma yake!
   
 5. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Chunga tamaa mbaya!!!
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhhh vituku vya 21st century
  hili tatizo ungeweza kulutatua tangu kosa la kwanza..

  sasa we unadhani Y atakuamini vipi si sasa atakuwa anafikiri mkiwa pamoja unaweza kucheza mchezo uliomchezea X... kumbuka huyu ni mwanamke kama alivyo X.. sijapenda ulivyo wachanganya...

  cha kufanya kuwa mkweli na nafsi yako acha usanii.. nani unampenda zaidi na kwa nini na je umpendae anakupenda? ukipata majibu ya hayo maswali then fanya ufanyalo kurudisha TRUST ya uliemchagua..
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hizi x and y zinakumbusha yale mambo ya hesabu za graph
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nampa Y pole zake!!!

  bora akae pembeni aepushe msongamano
   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole sana kijana , ushauri wangu, bado hujachelewa mwite Y mwombe sana mkutane then mweleze yote hayo, kwamba unampenda sana na hauwezi ishi bila yeye, na muhakikishie kwamba ushaachana na X na la mwisho mjulishe x kwamba hauko nae tena umeamua unataka uwe na Y. mtakie maisha mema na usiangalie tena nyuma. nafikiri atakuelewa
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wewe unamtaka nan? Coz mistakes zako zote ushazigundua mwenyewe! Ungekua blinded tungekufumbua bt seems to be wise, then hata chronological yako ipo very arranged, we unampenda nan?
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  I hate mathematics!!!!
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tehe tehe acha kujihusha na wanawake waswahili swahili, ukioa tu, you will find yourself into hot soup...
   
 13. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha umalaya chagua mmoja weka ndani
   
 14. Evmem

  Evmem Senior Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amua unamuhitaji nani na umwambie X kama ni over ili asije akaharibu tena utakapompata Y,but kaa ukijua kuwa Y hatakuamini tena unless u can prove to her beyond any reasonable doubt kuwa you've changed- Actions speaks louder than words
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,658
  Likes Received: 8,211
  Trophy Points: 280
  Blackberry, huoni kama umechanganya arrangement ya activities hapo? ama bado na wewe una-act with back-up instincts!?? kwamba Y akikataa atlist bado hujamtosa X..lol! jus thinking aloud..
   
 16. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  dogo ukiendelea na usanii huu wa kushindwa kutoa decisions,
  kama mtoto wa kiume hata ndoa ainaweza kukushinda!!!!

  OK, nina wasiwasi kesho utakuja na '' Z'' kwakuwa hao wengine umeshaharibu!!!!!!!
   
 17. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana kijana amua ni nani wakuwa nae then mwambie ukweli ambae utamtosa ajue mapema kuliko kuwachanganya na kuwapotezea mda wao
   
 18. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  lugha!
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mi navopenda hesabu ungeweka XYZ ningekudadavulia mpaka ungechoka, tehetehetehe! Ila sioni la kuku shinda hapo, mwambie ukweli wote Y ili achague kuukubali ukweli au vipi
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Acha mchezo wa kuwa na plan B pending in case A ime fail. Vunja uhusiano wako na X for good b'se humpendi,then mtafute Y umweleze A to Z kama ulivyotueleza hapa halafu subiri huruma zake. Hata aki respond -vely usithubutu kumrudia X maana inawezekana Y bado anakuchunguza. Ukijiridhisha kuwa Y hawezi kukusamehe tena basi tafuta Z na kamwe usirudi kwa X maana utakuja kum drop tu ukikutana na mwingine utakayempenda.
   
Loading...