Mimi B, Y na X

Umeshamwambia X kwamba it's over ama ulikuwa unamweka kama back-up incase it backfires with Y? nadhani hapo ndo tatizo lilipokuwa...n'way ndo nlichojifunza from ur hadith!
Sikumwambia Kwa Maneno,ila style tuliyokuwa tumefikia ilikuwa ni kila mtu na Hamsin zake,infact Distance ilichangia sana, na nilikuwa nakufa moyo coz alikuwa mzito sana when it comes to suala la mie na yeye ku meet,so one day nilimwambia kwa litakalotokea kati yaetu asinilaumu na akasema POA
 
Pole sana kijana , ushauri wangu, bado hujachelewa mwite Y mwombe sana mkutane then mweleze yote hayo, kwamba unampenda sana na hauwezi ishi bila yeye, na muhakikishie kwamba ushaachana na X na la mwisho mjulishe x kwamba hauko nae tena umeamua unataka uwe na Y. mtakie maisha mema na usiangalie tena nyuma. nafikiri atakuelewa
Dah,thanks Lot,natamani kukupa Contact za Y unisaidie kumfikishia ujumbe yani
 
Wewe unamtaka nan? Coz mistakes zako zote ushazigundua mwenyewe! Ungekua blinded tungekufumbua bt seems to be wise, then hata chronological yako ipo very arranged, we unampenda nan?
Sio Siri, Y ana Rock my wolrd,sio siri namzimia sana Y
 
Sikumwambia Kwa Maneno,ila style tuliyokuwa tumefikia ilikuwa ni kila mtu na Hamsin zake,infact Distance ilichangia sana, na nilikuwa nakufa moyo coz alikuwa mzito sana when it comes to suala la mie na yeye ku meet,so one day nilimwambia kwa litakalotokea kati yaetu asinilaumu na akasema POA

Wahenga walisema; Distance makes the heart grow fonder..
I gec 4ur case hukumpenda X kabisa, ulikua unamtamani, na the fact kwamba alikunyima (or, as u put it, alikuwa mzito,lol!) confirms it..and the earlier u accept that fact the better for u!
i think hapo ushawakosa wote. Cha kufanya tulia, give urself time to forget X and Y...in due time utampata Z utakayempenda despite the distance au uzito.
WARNING: Umeanza kutuhadithia from X...kumbuka kuna A-W uliowakosa,imebaki chance moja tu! don't paly with it too..utakuja juta...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom