Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mbona wewe unaomba hela za watu wengine sijui uwape nini. Why na wewe usifanye upate mvuto wa pesa huo uzipate nyingi ili hata uwagawie ukoo wako wote muwe matajiri.
Kwanza naomba buku ten hapa nijiunge kifurushi Dr kinyamkera.
Kama haikuusu achana nayo sijalazimisha mtu alafu sijawai kuomba pesa yako mkuu acha unafki
 
Kwenye group lako unaomba bana kuwa hii huduma inabidi utoe na hela Fulani. Si ufanye hivyo unavyohubiri ili upate hizo hela unazosema watu wafanye ivyo ili wapate hela.
Ungekuwa umeshafanya wewe ukawa tajiri ukawatajirisha na Koo yako.
You need to sweat either physically or mentally otherwise
 
Dawa kubwa mkuu sema elim yake tu kuijua
nautafuta huu
downloadfile.jpg
 
Kwenye group lako unaomba bana kuwa hii huduma inabidi utoe na hela Fulani. Si ufanye hivyo unavyohubiri ili upate hizo hela unazosema watu wafanye ivyo ili wapate hela.
Ungekuwa umeshafanya wewe ukawa tajiri ukawatajirisha na Koo yako.
You need to sweat either physically or mentally otherwise
SAsa si umekuja Mwenyewe nilikwita acha kupenda vya mdonyole 😂😂
 
Mie nakuuliza si ufanye wewe upate hela na ilhali wewe bado unazitaka za watu. Inaonekana wewe unashindwa kufanya kwako utoboe, yaani nashangaa mno ,eti toa utazidishiwa hao wanaohubiri wenyewe hawatoi ili wazidishiwe.
Mnafanana nao hao jamaa , yaani watu wajinga wataibiwa Kila kukicha
 
Mbona serikali Ina hela na Bado Ina taka za raia wke,hii boksi yako ya kuhifadhia meno Ina shida sana😂😂🙏🏽
 
Mie nakuuliza si ufanye wewe upate hela na ilhali wewe bado unazitaka za watu. Inaonekana wewe unashindwa kufanya kwako utoboe, yaani nashangaa mno ,eti toa utazidishiwa hao wanaohubiri wenyewe hawatoi ili wazidishiwe.
Mnafanana nao hao jamaa , yaani watu wajinga wataibiwa Kila kukicha
Swali dogo tu nakuuliza wewe unaweza kutembea na dada yako kimahusiano?
 
Kila miezi sita kuchinja mbuzi .pia kila Alhamis kufusha uddi .
🤣Code number 21.

Jicho la 3 linafunguka kwa meditation na yoga .ila sasa unajua unafanyaje ?

Nyamaza chukua hii itakusadia .

Ikifika siku ya Jumamosi vaa nguo nyeusi kuanzia saa moja asubuhi zohal mwenyewe anatawala bwana mwenye kuzofisha kila kitu .hivyo vaa nguo nyeusi usivue hadi Jumamosi ijayo kuamkia jumapili saa moja asubuhi vaa nguo mpya maana bwana jumapili ndio bwana wa kuvaa nguo mpya na siku mpya huanza.

Kuanzia siku hiyo wewe utakuwa msafi kila kitu kitapotea kwako cha nuksi mikosi vifungo nk Jumamosi iko na maana ya mwisho .hivyo mwisho wa kila kitu katika maisha yako kinachokusumbua.
I'm kushi dogoli kinyamkela ☠️💀 🤝
1748024375464.jpg
 
DAWA YA ASILI: ITINGINYA
(Inajulikana pia kama mti wa nguvu au mti wa asili wa tiba za kienyeji).

FAIDA ZA ITINGINYA KIAFYA NA KIROHO

Kiafya:

1. Husaidia kuongeza nguvu za kiume.

2. Hurekebisha mzunguko wa damu kwa wanaume na wanawake.

3. Hutibu matatizo ya uchovu wa mwili na kiakili.

4. Husaidia kusafisha mwili wa sumu kwa njia ya asili.

5. Hufufua hamu ya tendo la ndoa.

Kiroho (Kutoa Majini na Vitu Vibaya):

1. Inaaminika kuwa itinginya ina nguvu ya kufukuza majini wachafu.

2. Inatumika kuondoa mikosi, nuksi, na nguvu za giza nyumbani au kwa mtu binafsi.

3. Majivu ya mzizi au magome yake huchanganywa na maji na kunyunyiziwa au kuogea kwa ajili ya kujitakasa kiroho.

MATUMIZI

Kunywa kwa afya:

Chemsha mizizi midogo au magome ya itinginya kwenye lita moja ya maji kwa dakika 15.

Tumia kikombe kimoja kutwa mara 2: asubuhi na jioni kabla ya kula.

Kwa nguvu za kiume:

Changanya unga wa mizizi ya itinginya na asali kijiko kimoja.

Tumia mara moja kwa siku, saa moja kabla ya tendo la ndoa.

Kwa kutoa majini na nguvu za giza:

Chemsha mizizi ya itinginya na maji.

Tumia maji hayo kuoga asubuhi au jioni kwa siku 3 mfululizo.

Wakati unaoga, tamka maneno ya kujitakasa kama: "Mwenyezi Mungu na nguvu za asili, niondolee uchafu na maovu yote yanayonisumbua."

ONYO

Usitumie dawa hii kwa watoto walio chini ya miaka 10.

Usizidishe kipimo, inaweza kusababisha kizunguzungu au kuharisha.

Wajawazito wasitumie bila ushauri wa mtaalamu wa tiba asili.

Hakikisha umetumia dawa hii kwa imani njema na kwa kufuata masharti.

By Doctor dogoli kinyamkela

Ukiitaj masomo zaidi kama haya jipatie kitabu chake iki chenye page 10
file_00000000610062308e2ed0b0f38261e4.png
zitakusaidia.
 
Ukiitaj masomo zaidi kama haya jipatie kitabu chake iki chenye page 10 View attachment 3347840 zitakusaidia.
Waafrika inabidi mtafute dawa ya kuongeza uwezo wa akili, nguvu za kiume unapeleka wapi. Tunashindwa hata kugundua chanjo zote zatoka kwa wasio na nguvu za kiume.
Kwanza nguvu za kiume unazipeleka wapi Mana zikiwa nyingi muda wote unawaza kudinya tu. Unadhani hayo ya kudinyana ndio utakuja kuwarithisha watoto wa watoto wako kuwa ulikuwa na nguvu za kiume ivyo ulit00mbana sana , yaani ndio history utakayoachia wajukuu zako jamani. Badilikeni Maisha sio kuwa ni kut00mbana tu , yaani Africans focus yetu ipo kwenye ngono tu nadhani hata trump hajatuonea kutuita wapenda sex, miziki na starehe kuliko KAZI na maendeleo.
 
Back
Top Bottom