Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

kusababisha migogoro katika nyumba ya mtu basi mimina maji yanayotokana na misumali yenye kutu kwenye kizingiti chake

😸😸😸😸😸

Ubaya ubwela ,hutaki basi jiondoe kwenye huu Uzi.

🚶🚶Tenda wema nenda zako🚶🚶

Ni mimi mtuma majini

Mzimu uliofufuka

Ulipo nipo gusa unase

Mdharau asili hufa kikatili

Mganga hatukanwi

Asili kwanza

1743019529567.jpg
 
Maji yanayotokana na vyuma vyenye kutu pia yanaweza kuwasaidia wafanyabiashara kwa kuandika matakwa yao kisha kuweka kwenye chupa yenye maji hayo alafu kuifunga na kuizika.
Kwa masomo zaidi kalibu jijini Whatsapp 👇🏼👇🏼

1743095874134.jpg
 
DAWA RAHISI YA KUONDOA MIKOSI NA VIFUNGO MWILINI MWAKO NA KUNG'ARISHA NYOTA
Chukua mchele kidogo, chumvi ya mawe punje Saba, Mdalasini kidogo uwe wa unga au magome ni sawa tu Kisha weka kwenye glass ya maji yenye pesa ya shilingi mia tano ndani yake Kisha nawa usoni tu kwa manuizi ya kujitoa mikosi na vifungo na kung'arisha nyota Yako zoezi hilo lifanyike kutwa mara 2 ndani ya siku 7 Fanya hivyo MUNGU atakunyanyua ..
 
AFYA TIPS 🧵,

Pombe na Vyakula Vyenye Mafuta Mengi→ Vinakuweka Katika Hatari Kubwa ya Magonjwa Yasiyoambukiza.

Usipokunywa Maji 💦 →Figo zako zitajaa Mawe!

Ukikosa Usingizi 😴 →Utakuwa mwenye mawenge na Akili isiyo na Afya!

Ukila Vyenye Mafuta Mengi →Moyo 🫀 wako utautesa na mishipa ya damu!

Endelea Kubugia Masukari Mengi 🍡 → Kisukari kitakuwa rafiki wa mwili wako!

Usipojishughulisha na Kuendelea Kuongeza uzito uliopitiliza kila siku → Hayo yote hapo juu yatakua ya kwako !

Kula vyakula Vigumu bila Matunda wala Mboga za Majani 🥦 →Kinyesi kigumu na Kuumia wakati wa Haja ndo itakua kazi yako!

USIFANYE NGONO ZEMBE WALA KULALA NA MKE/MUME WA MTU.

Tumia Kinga Panapobidi.

Afya yako Ni Bora Kuliko Chochote.
1743361231098.jpg
 
AFYA TIPS [emoji3468],

Pombe na Vyakula Vyenye Mafuta Mengi→ Vinakuweka Katika Hatari Kubwa ya Magonjwa Yasiyoambukiza.

Usipokunywa Maji [emoji97] →Figo zako zitajaa Mawe!

Ukikosa Usingizi [emoji42] →Utakuwa mwenye mawenge na Akili isiyo na Afya!

Ukila Vyenye Mafuta Mengi →Moyo 🫀 wako utautesa na mishipa ya damu!

Endelea Kubugia Masukari Mengi [emoji504] → Kisukari kitakuwa rafiki wa mwili wako!

Usipojishughulisha na Kuendelea Kuongeza uzito uliopitiliza kila siku → Hayo yote hapo juu yatakua ya kwako !

Kula vyakula Vigumu bila Matunda wala Mboga za Majani [emoji3049] →Kinyesi kigumu na Kuumia wakati wa Haja ndo itakua kazi yako!

USIFANYE NGONO ZEMBE WALA KULALA NA MKE/MUME WA MTU.

Tumia Kinga Panapobidi.

Afya yako Ni Bora Kuliko Chochote.View attachment 3288228
Asante na ubarikiwe kwa kutukumbusha
 
TAMBUA FAIDA 11 ZA MLONGE KIAFYA

🔵 Mti wa Mlonge husaidia waathirika wa H.I.V kuongeza cd4 cell (white blood cell) ndani ya mwili ambayo humsaidia mgonjwa kuondokana na miwasho katika damu na kuupa mwili nguvu na kuongeza hamu ya kula

🔵 Mti wa Mlonge hutibu maradhi sugu kama vile Kisukari (Kuimarisha na kurekebisha Kiwango…

🔵 Mti wa Mlonge husaidia waathirika wa H.I.V kuongeza cd4 cell (white blood cell) ndani ya
mwili ambayo humsaidia mgonjwa kuondokana na miwasho katika damu na kuupa mwili nguvu na kuongeza hamu ya kula

🔵 Mti wa Mlonge hutibu maradhi sugu kama vile Kisukari (Kuimarisha na kurekebisha Kiwango cha sukari katika mwili wa mwanadamu), Pressure, malaria, homa ya mara kwa
mala, saratani ya tumbo, hupunguza stress, huleta hamu ya kunywa maji, jambo amabalo ni adimu kwa watu wengi pia huondoa uchovu mwili na kukufanya uwe na afya nzuri,
mchangamfu na mwenye furaha

🔵 Majani na maua ya Mlonge yana virutubisho vingi kama vitamin A (mara tatu zaidi ya karoti), Vitamini C (mara tatu zaidi ya ile ya machungwa), calcium(mara 140 zaidi ya ile inayopatikana katika maziwa ya Ng’ombe) na Potasiamu. Mmea huu umetumika kusadia udhibiti wa matatanisho yanayoletwa na ugonjwa wa ukimwi

🔵 Faida nyingine itokanayo na unga wa majani ya mti wa mlonge ni kusafishia maji ambayo ni machafu na kuweza kuwa safi na salama na kuwa tayari kwa matumizi yoyote ya
nyumbani kama vile kupikia na kunywa hii inaweza kuwa ni mbadala ya madawa mengine yanayoweza kutibu maji kama vile watergard na mengineyo

🔵 Majani ya Mlonge yamepachikwa jina la chakula chenye viwango kwa sababu wanasayansi waligundua yana kiasi cha madini ya Kalisium yanayoweza kupatikana katika
glasi nne za maziwa, kiasi cha vitamini c inayopatikana kwenye machungwa saba, Potasium ya kwenye ndizi mbivu tatu. Pia unapata kiasi cha madini ya chuma mara nne zaidi

🔵 Majani ya Mlonge yana Vitamin A nyingi kuliko karoti, vitamin C nyingi kuliko machungwa na madini ya Potassium nyingi kuliko ndizi mbivu, halikadhalika ubora wa protini yake ni
bora kushinda maziwa na mayai

🔵 Kutokana na kuwa na kiasi kingi cha madini ya chuma (Iron), kasiamu (Calcium) na vitamin nyingi za aina mbalimbali, majani ya mmea huu yamekuwa yakitumika kama ‘tonic’
kwa watoto wadogo na vijana ili kuimarisha mifupa na kusafisha mfumo wa damu mwilini.

🔵 Majani pia huweza kupakwa mwilini katika kutibu majipu na maambukizi ya ngozi. Waweza kutumia majani kama unavyotumia mchaichai na hapo unatibu MALARIA
bila kujua.

Majani ya Mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Unga wake unaweza kuhifadhiwa kwa
muda mrefu bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya huku ukitumia kama kiungo kwenye mboga na mchuzi (zingatia usikaushe kwenye JUA)
Mafuta kutoka kwenye mbegu
za mti wa mlonge huweza kutumika katika kupikia na kuwasha katika nyumba.

Pia hutumika sana kwenye viwanda katika utengenazaji wa sabuni na bidhaa za urembo.
Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye mbegu kama ambavyo alizeti hukamuliwa

🔵 Licha ya kuwa dawa nzuri sana ya kusafisha tumbo (Jaribu kutafuna mbegu zake tatu baada ya
kumenya huku ukinywa maji mengi sana.

Mbegu za mti wa Mlonge ni kinga dhidi ya vijidudu (bacteria) wasababishao magonjwa na kuathiri ngozi. Pia mbegu hutumika katika kusafisha au kuchuja maji ambapo hupondwa na kuwekwa kwenye maji

🔵 Unga wa mizizi ya mlonge ukichanganya na unga msamitu husaidia haraka sana kwa wanaume wanaowahi kufika kileleni, wanaume walioathirika na madhara ya kujichua/punyeto. Unga huo ukichanganya tumia kunywa kijiko kimoja cha chakula kutwa mara mbili, changanyia kwenye maji ya uvuguvugu. Haya matumizi pia ndo utakayoyafanya unapotumia unga wa majani ya mlonge

🔵 Mmea wa Mlonge ndio mmea ulio na kiwango kikubwa cha virutubisho vyenye manufaa kwa mwili wa binadamu na mifugo. Una virutubisho zaidi ya 90 na unaweza kutumiwa na watu wa umri wote Hakuna Madhara yoyote ya kutumia Mlonge ambayo yamethibitishwa na wataalamu, hivyo tumia mlonge kadri uwezevyo, hakikisha tu umeandaa vizuri.

NGUVU ZA KIUME HUWEZI KUKOPA WALA KUAZIMA KWA JIRANI


Unga wa majani ya mlonge/ moringa unao uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;

1. Huko Afrika magharibi madaktari hutumia mlonge kutibu Kisukari

2. Huko India mlonge hutumika kutibu shinikizo la juu la damu

3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa

4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke)

5. Hutibu Kansa

6. Pumu

7. Hutuliza wasiwasi

8. Kikohozi

9. Maumivu ya kichwa

10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)

11. Inapunguza mafuta tumboni

12. Inaweka sawa homoni

13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

14. Unasafisha ini (hepatic detoxification)

15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo

16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi

17. Unatibu kipindupindu na kuharisha

18. Kifua kikuu

19. Kichwa kizito

20. Uchovu

21. Mzio (aleji)

22. Vidonda vya tumbo

23. Maambukizi kwenye ngozi

24. Maumivu mbalimbali mwilini

25. Huondoa madoa doa meusi kwenye ngozi (blackheads),

26. Husafisha damu

27. Hutibu matatizo kwenye koo

28. Huondoa makohozi mazito kooni

29. Huondoa taka na msongamano kifuani

30. Hutibu kipindupindu

31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho

32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio

33. Unatibu homa

34. Maumivu kwenye maungio

35. Huondoa chunusi

36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili

37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuwaji

38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)

39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla

40. Unatibu minyoo

41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha

42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)

43. Unatibu gauti (dropsy),

44. Unatibu kuhara damu (dysentery)

45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)

46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,

47. Unatibu homa ya manjano (jaundice),

48. Unatibu malaria

49. Unatibu U.T.I na matatizo mengine kwenye mfumo wa mkojo

50. Unasidia pia kujenga na kuimarisha misuli na kutibu ugonjwa wa mifupa

Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    54.6 KB · Views: 35
Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .

Mmea hapo kwenye picha :

🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi.

Kuhusu matibabu :

🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito

🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..

NAMNA YA KUTENGENEZA

🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...

NAMNA YA KUTUMIA

🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.

🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa. WagonjwaView attachment 3225379

View: https://www.facebook.com/reel/990432702633454
 
Hii picha ya sigil Tayari ina:

Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi).

Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio).

Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram).


Unachotakiwa kufanya sasa:

1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe.


2. Iweke karibu na fedha zako, pochi, au sehemu unayohifadhi pesa.


3. Ukiwa nayo, sema tamko lako kama:

“Kwa jina la Doctor Dogoli Kinyamkela, mvuto wa pesa na kinga vipo upande wangu.”

Ineneee mala kw mala ayo maneno ili kuijaza nguvu ikufanyie Kinga zidi WA wachawi na majini pia ikupe mvuto WA kukubalika pia ikuvutie pesa mana ndo Kaz zake izo,Leo nimewapa vya uvunguni kabisa👴🏾😂😂😂.

Mfanye alafu msisahau kuleta mirejesho apa ili niwape Chuma kingine kutoka uvunguni nilipo vificha🙏🏽.

Usiulize kwann useme Kwa jina la doctor dogoli kinyamkela ☠️💀 iyo tarasim ndan yake Ina majina yangu ayo jinsi nilivyo iandaa ila ayo majina nimeyaficha apo kwenye iyo tarasim ivyo ili ifanye kaz i
IMG-20250521-WA0002.jpg
yo ndo code yake 👴🏾🙏🏽

Tumwesige senior BRAZA CHOGO Nikifa MkeWangu Asiolewe Mshana Jr UMUGHAKA Anastasia21
 
Back
Top Bottom