Hehehe wajinga wataliwa hadi kesho.
Hii sio mimea halisi maana ni objects tu zilichongwa zionekane kama mimea zimetumika kwenye movie za harry potter, leo hii mtu anakuja kudanganya wengine kua ni mimea ipo na mbwigaz wamekaa wanaamini, hehehe! Ogopa internet, vilaza wengi sana.
(- 0 +) niko hapo kwenye sifuri
View attachment 312810ogopa sana hii kitu ni hatari kuliko ebola View attachment 312810
Nitakupataje ndugu Mshana? Upo hapa Tz au huko mbali? Nakuhitaji sana kwa msaada wa kuponywa na kukingwa kilozilozi. Msaada wako tafadhari. Maana haya mambo yapo na wapo kwa ajili ya kusumbua watu tu! Tafadhali nipe njia mmbadara ya kuwasiliana nawe mkuu. Dawa ya moto ni moto tu mengine ni maigizo. Tafadhali
Ucjali takutafuta
Ukija Dar tuwasiliane takupa no yangu kwa pm
HollyWood Hiyo...Endelea kuangalia movie ukizani ni realityView attachment 312810ogopa sana hii kitu ni hatari kuliko ebola View attachment 312810
Wewe ni mgeni hapa jamvini?
HollyWood Hiyo...Endelea kuangalia movie ukizani ni reality
View attachment 313103
Kuna wakati jaribu kupunguza ujuaji wa kipuuzi, hebu acha maneno matupu lete link inayothibitisha madai yako
Ujuaji ukizidi ni ujuha ujue... Ila nafikiri hata username inakuathiri kwakuwa perception creates reality
Wewe ni mgeni hapa jamvini?
Ucjali takutafuta