Mimba zisizotarajiwa au kutakiwa

Mimba zisizotarajiwa au kutakiwa

Watu wa fursa utawaelewa tu kwa maandiko yao hii ni project ya maana sana ambayo ukimtonya mzungu anakutumia mafurushi ya pesa tu ebu onana na watu wa project planning unufaike sasaivi "in the twinkling of an eye"!

Ningetaka hizo fursa leo nisingekuwa hapa na hata mleta mada pia....sio kuwa hatujui kuandika writeups na kutafuta wafadhili,
 
Ningetaka hizo fursa leo nisingekuwa hapa na hata mleta mada pia....sio kuwa hatujui kuandika writeups na kutafuta wafadhili,

Nhahaaa natania tu mkuu lakini hii ni kazi iliyo njema sana na mm nitawaunga mkono mkianzisha hii issue
Kwanini watoto watupwe Kila mtoto anakuja na sahani yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom