Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,290
Wewe Mshana Kunya acha hizo Tabia za kuthibitiha uwepo wa UCHAWI au WACHAWI.Ujue kila siku tunapoteza ndugu zetu ALBINO sababu ya imani za KISHIRIKINA.,wewe ndio unajifanya GWIJI au KINARA wa kujua na kuthibitiha kuwepo kwa nguvu za GIZA wakati hakuna uchawi ushirikina hapa Duniani.ACHA PROMO ZA KIZUSHI.Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.
Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.
Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.
Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!
Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Wacha wee...! Post nyingine ni stress remover wallahWewe Mshana Kunya acha hizo Tabia za kuthibitiha uwepo wa UCHAWI au WACHAWI.Ujue kila siku tunapoteza ndugu zetu ALBINO sababu ya imani za KISHIRIKINA.,wewe ndio unajifanya GWIJI au KINARA wa kujua na kuthibitiha kuwepo kwa nguvu za GIZA wakati hakuna uchawi ushirikina hapa Duniani.ACHA PROMO ZA KIZUSHI.
Labda ungependa niongelee nini kwa mfano kwenye hiyo mitandao ya kijamii?We Mshana sio sifa kujifanya kuongelea mambo ya UCHAWI na USHIRIKINA kwenye mitandao ya jamii kwani kufanya hivyo ni KUTHIBITISHIA jamii kuwa UCHAWI na USHIRIKINA upo hapa Duniani hakuna UPUMBAVU huo weweeeeeee.
Stress remover?,mambo ya hatari unaita stress remover?,ungekuwa una ndugu au mtoto ALBINO sidhani kama ungethubutu kuandika hayo mambo ya kishirikina au uwepo wa UCHAWI kila siku bila kubadilisha,yaani wewe kila muda ni UCHAWI TU NA USHIRIKINA,NAOMBA MODS WA KUFUTE HUMU.Wacha wee...! Post nyingine ni stress remover wallah
Ongelea siasa,utamaduni,michezo,uchumi,tiba za asili sio za kishirikina etc,etc .....Labda ungependa niongelee nini kwa mfano kwenye hiyo mitandao ya kijamii?
Kaka Mshana Jr, nafikiri huyu jamaa anashindwa kutofautisha kati Reality na Makaratasi. Anashindwa kujua kwmb uchawi ulikuwepo hata kabla ya ninyi, wazazi wenu na hata kabla ya babu zenu kuzaliwa.Labda ungependa niongelee nini kwa mfano kwenye hiyo mitandao ya kijamii?
Lini hiyoKinazindunaa.....kuna nabii jijini Mby kamzalisha MTU nyokaaa ni liveee bila chenga.
Ongelea siasa,utamaduni,michezo,uchumi,tiba za asili sio za kishirikina etc,etc .....
Nimeshakukumbuka bado na kukaribisha tiptop si kwa shari bali kwa heri..katika maisha kuna fani nyingi katika maisha na ndio maana tukifika form 3 tunachagua comb. ..Nakushukuru leo umeandika na kuuliza bila vitisho kama kawaida yako coz siku ile uliniambia nije Manzese TipTop ili unionyeshe KungFU,leo nasema ubarikiwe na ubadilishe TOPIC sio mambo ya Uchawi.
Stress remover?,mambo ya hatari unaita stress remover?,ungekuwa una ndugu au mtoto ALBINO sidhani kama ungethubutu kuandika hayo mambo ya kishirikina au uwepo wa UCHAWI kila siku bila kubadilisha,yaani wewe kila muda ni UCHAWI TU NA USHIRIKINA,NAOMBA MODS WA KUFUTE HUMU.
Nadhani anataka ujadili habari za Wema Sepetu na magenge yaoLabda ungependa niongelee nini kwa mfano kwenye hiyo mitandao ya kijamii?
Hujamaliza, hata hujaanza bado.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Unaamini katika hadithi isiyothibitishika.
Kati yako unayeamini katika kitu ambacho huwezi kuthibitisha na mimi ninayekuuliza maswali ambayo umeshindwa kuyajibu, nani ana matatizo hapa?
That is neither here nor there.Hahaha!!! waulize NASA kwa nini hawataki tena kwenda mwezini!! Oooh! Napita tu I'm sorry.
"Kama kitu hukijui haina maana kuwa hakipo"